jahazi

Haji Mussa Kitole is a Zanzibari politician and member of the Jahazi Asilia party.
Running as the Jahazi Asilia candidate in the 30 October 2005 Zanzibar presidential election, Kitole placed 3rd out of six candidates, receiving 0.47% of the vote.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjasiri na Mali

    Wataalamu wa hesabu okoeni jahazi

    Zawadi ya bando Kwa atakayekuwa wa kwanza kusolve
  2. JanguKamaJangu

    Chicharito yupo tayari kucheza Man United bure ili kuokoa jahazi la ushambuliaji

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Javier Hernandez “Chicharito” amesema yupo tayari kurejea klabuni hapo ili kuikoa jahazi la timu hiyo katika suala la ushambuliaji Chicharito, 34, aliyefunga magoli 59 katika mechi 157 akiwa United kwa sasa anaichezea LA Galaxy ya Marekani amesema...
  3. GENTAMYCINE

    Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

    Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
  4. M

    Bench la Ufundi SIMBA SC tafadhali rekebisheni haya kabla jahazi halijazama!

    Wandugu Salamu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiwa kama mdau wa soka na shabiki wa Club ya Simba nimefanya ufuatiliaji wa performance ya kikosi chetu, nimebaini aadhi ya mapungufu ambayo kwa namna moja au nyingine yametunyima ushindi katika mechi tatu muhimu tulizocheza hadi sasa...
  5. chongoe

    Jahazi imezama ikielekea Songo songo kutokea Mafia

    Jumla ya watu sita wamezama mmoja ameokolewa na boti ya dagaa, maboti ya fery ila watano waliobaki wameshaokotwa wawili wakiwa maiti na wamezikwa Somanga, waliobaki utafutaji unaendelea.
  6. Kamanda Asiyechoka

    Tundu Lissu njoo uokoe jahazi, kila pingamizi linakwama

    Fimbo ya mbali haiuwi nyoka Mr learned counsel. Mambo ni mazito maana kamanda kila anachofanya hakifanikiwi Kibatala na wenzake kila Pingamizi wanaloweka linagonga mwamba. Hii ni dalili mbaya kwa Mwamba huenda maana huenda wakamnig'iniza. Kwa sababu upo vizuri na ulidai hii ni kesi ndogo...
  7. B

    CHADEMA: Jahazi liko imara pasi na kutetereka

    Imeelezwa mara nyingi kuwatofautisha wajumbe JF na vyama vya siasa. Kama ilivyo kwa vyama vingine, CHADEMA ni taasisi kubwa yenye kuendesha shughuli zake rasmi ofisini na siyo mitandaoni chini ya wajumbe fake. Ikumbukwe kuwa CHADEMA imekuwa mshirika wa dhati wa wananchi dhidi ya Corona...
  8. Didask89

    SoC01 Jahazi la Elimu Tanzania

    Na Didas Patrick Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliwahi kusema, nanukuu, "Elimu ndio silaha pekee na yenye nguvu unayoweza kuitumia kuibadilisha dunia". Katika historia ya dunia sijapata kushuhudia mtu aliyeaminiwa na kupewa fursa ya kuilea jamii kuanzia utotoni mpaka ukubwani...
  9. I

    SoC01 Wasafiri wawili

    ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
  10. Mwanamayu

    Kutoka dereva wa lori mpaka nahodha wa jahazi; je kule jahazi linapotakiwa kufika pakoje?

    "Jahazi hili, upepo uwe mwingi, upepo uwe mdogo, jahazi hili lazima likate mawimbi hili safari ifike." Mhe. Rais Samia. Dereva wa lori, Mungu amrehemu, nae alisema anatupeleka kwenye nchi ya asali na maziwa, hivyo tulitakiwa kutulia na kuwa kwenye mako wowote ule. Lakini ndio hivyo katutoka...
Back
Top Bottom