Na Didas Patrick
Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliwahi kusema, nanukuu, "Elimu ndio silaha pekee na yenye nguvu unayoweza kuitumia kuibadilisha dunia".
Katika historia ya dunia sijapata kushuhudia mtu aliyeaminiwa na kupewa fursa ya kuilea jamii kuanzia utotoni mpaka ukubwani...