Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
Jaji Mkuu wa Kenya amemtaka Mhe. Rais wa Kenya kuheshimu sheria na kite majaji sita wanaohitajika kikatiba. Aidha amesisitiza kuteuliwa kwa majaji wawili walimpinga wakati wa BBI. Hii ni mwendelezo wa uwajibikaji wa Jaji Mkuu kama mkuu wa mihimili. Jaji Mkuu aliyemaliza muda wake itakumbukwa...
Ishara zinaonesha kuwa soon mihimili yote mitatu inaweza kuwa chini ya akina mama hodari, kwa sasa wawili washapatikana, watatu atakuwa nani?
Namaanisha hii judiciary wingi mbona kama wako rigid and mascular sana, nao si watuletee mwana mama? ili tukamilishe utatu?
mzee wa trend reading...
Iko recorded katika hoja zilizoongelewa katika Maria Space Dec. 20.
Katika maelfu ya wajumbe ya waliokuwapo, Mh. Jaji Mkuu naye alikuwa katika mahudhurio.
Kwamba katika maazimio, umuhimu wa kuwahusisha wananchi kwenye kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ulizingatiwa mno:
"Kwa uhakika...
MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa.
Amekwenda mbali hadi kufikia kusema , wote...
Kesi ya Mbowe na wenzake imethibitisha ubovu wa mahakama ya Tanzania. Ni dhahiri chombo hiki si huru na wala hakina uadilifu. Mahakama inashirikiana na mawakili wa Serikali kutoa nyaraka za mahakama kuwapa mashahidi wa upande wa Serikali. Jambo hili limethibitika wazi.
Jambo la kushangaza ni...
Mapendekezo yetu siku zote sisi wananchi, Azaki, activists na vyama yapo wazi kabisa sio kuongeza Magereza kila wilaya hapana. Nakumbuka hata wewe Jaji Mkuu umekuwa ukiyapigilia msumari mapendekezo mahususi ya kutatua changamoto ya msongamano wa wafungwa na Mahabusu katika magereza yetu uliwahi...
Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana Magereza yaliyopo sasa yamejaa mahabusu.
Badala akae na Watumishi wa mahakama wajadili kupunguza mahabusu...
Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria:
Vitisho hivi ni vya nini?
Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi.
Tuna hata haja ya kutunishia misuli?
Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
Kinachofanyika mahakamani kwa miezi mitatu mfululizo ni ishara kwa muhimili wa mahakama kushindwa kutekeleza wajibu wake na kutekeleza maelekezo ya serikali.
Kwa kuwa mkuu wa muhimili wa mahakama ni yule yule aliyekuwepo wakati watu wanaonewa na kubambikiwa kesi na kwa kipindi chote hicho...
JAJI MKUU NCHINI KENYA AMUONYA RAIS
Jaji Mkuu Martha Koome amemuonya Rais Uhuru Kenyatta dhidi ya kuingilia shughuli za mahakama na kutoheshimu sheria za nchi. Jaji Koome amemhimiza Rais kuwateua majaji 6 aliowaacha nje,wakiwemo wawili waliopinga muswada wa kubadili katiba wa BBI.
====
Chief...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.