jaji warioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chifu mkuu

    Jaji Warioba: Napongeza CCM kwa hatua zake dhidi ya rushwa

    Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, amepongeza hatua zilizoanza kuchukuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mapambano dhidi ya rushwa kwenye uchaguzi. Jaji Warioba ametoa pongezi hizo akirejea mabadiliko ya Katiba ya CCM yaliyofanywa na...
  2. figganigga

    Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  3. J

    Namshauri Rais Samia amteue Mzee Warioba na kumtengua Mzee Wassira maana anaendana zaidi na 4R zake

    Kama Mama ana nia ya dhati kutekeleza 4R basi atafute wasaidizi sahihi watakaofanya naye kazi ktk chama. Binafsi naona mtu kama Jaji Joseph Warioba angekuwa mtu muhimu sana katika kusimamia maridhiano kati ya CCM na wapinzani. Kwa upande mwingine sioni mantiki ya uteuzi wa Mzee Wassira kwani...
  4. THE BIG SHOW

    Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

    Friends and Our Enemies, Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
  5. The Watchman

    Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, anasema Jaji Warioba alipewa uwaziri mkuu kwasababu alikuwa chawa wa Nyerere hivyo asikosoe uchaguzi

    Wanajamvi salaam Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu...
  6. The Watchman

    LGE2024 Jaji warioba ametoa pongezi, asema haki na uhuru umefanikisha uchaguzi

    Salaaam wakuu, tafadhali naomba kujua uhalisia wa hii taarifa iliyowekwa kwenye gazeti hili la Mwananchi khusu Mzee warioba kuwa ametoa pongezi, haki na uhuru umefanikisha uchaguzi.
  7. jingalao

    Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

    Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa. Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshimike...
  8. T

    Itakuwa nchi haina wazee kama kuna mtu atanyanyuwa mdomo kumjibu Jaji Warioba

    Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba. Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie penda haki hata pale wakuu wake walipo fanya maamuzi yalikinzana na taratibu. Jaji Warioba hatupaswi...
  9. JOHNGERVAS

    Maggid Mjengwa achambua hoja za Jaji Sinde Warioba

    Tafakuri Jadidi: Ninapotafakari Alichosema Mzee Warioba? Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba jana ameongea mbele ya Wahariri wa Vyombo Vya Habari. Nimemsikiliza kwa makini Mzee Warioba. Huyu ni mmoja wa Viongozi Wastaafu wenye busara na...
  10. Mtoa Taarifa

    TBT: Kuna nyimbo kwa Makundi 3 (Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature), (Alikiba, Matonya & MB Dog) na (Joslin, Noorah & Mr. Blue) utasikiliza zipi?

    Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu: Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature Alikiba, Matonya & MB Dog Joslin, Noorah & Mr. Blue Ungechagua kundi lipi na kwa nini? Je, muziki wao umeacha alama gani kwako au kwenye tasnia ya muziki wa Bongo...
  11. J

    Wanaopaswa kumjibu Jaji Warioba ni Chadema siyo CCM. Jaji amesema Hatua zisipochukuliwa sasa "Uchaguzi wa 2025 utakuwa kama wa 2024"

    Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote. Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu. Kuna sehemu Warioba anasema kabisa "Wanaowaingiza polisi kwenye Siasa ni Serikali siyo CCM" Hivyo kwa...
  12. T

    Ushauri CCM kumjibu Jaji Warioba itakuwa kukosa adabu na kudharau Wazee wa Taifa hili

    Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba. Swali langu moja tu hamjiulizi JPM yupo wapi na aloe mjibu wazee wanawashwa washwa yupo wapi Alie sema hayo maneno? Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa...
  13. F

    Jaji Warioba na Mzee Butiku ndio wana CCM waliobaki

    Huu ndio ukweli mchungu wapendwa watanzania na hasa wale wanaaojiita wana CCM! Kama kuna mwana CCM anataka kujua jinsi ya kuwa mwana CCM wa kweli awatafute Jaji Joseph Sinde Warioba na Mzee Joseph Butiku. Hawa ndio wana CCM kwa maana halisi waliobaki nchi hii! Wengine wote waliobaki ni...
  14. The Sunk Cost Fallacy 2

    LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda. Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
  15. M

    Pre GE2025 Jaji Warioba: Tusipochukua hatua, uchaguzi mkuu utakuwa kama huu wa Serikali za Mitaa

    Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana na ule wa mwaka 2019, lakini matokeo yake ni vilevile. Uchaguzi wa mwaka kesho (2025), kama...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Jaji Warioba: Jeshi la Polisi limeingizwa kwenye Siasa, linatoa matamko ya Kisiasa, liachwe lifanye kazi yake

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa...
  17. Chachu Ombara

    Jaji Warioba: Viongozi wa Serikali msiingilie majukumu na kazi za vyombo vya Dola

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki...
  18. ChoiceVariable

    Jaji Warioba: 4R za Rais Samia zimeituliza Nchi tofauti na Miaka 3 Iliyopita

    My Take Machadema wataanza kutoa povu huku wakimuita chawa 😂😂😂😂 Very desperate saccos iliyokataliwa 👇👇 --- WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema bado anayaona mafanikio ya falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya R nne (4R) anazozitumia katika utawala wake na kuifanyia nchi kuwa...
  19. B

    Jaji Warioba anazungumza na vyombo vya habari

    04 October 2024 Oysterbay, Dar es Salaam Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Y5z3HSDrAP4 Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumzia uchaguzi unaokuja wa November 2024 TAMISEMI na ule uchaguzi mkuu 2025 Jaji Warioba uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa kipekee kwa kuwa ulipangwa uwe na dosari...
Back
Top Bottom