Raisi Kenyatta wa Kenya amemteua mtu anaeitwa Bridgedia General John Kibaso Warioba kuwa mkuu wa jeshi la Magereza la kenya.
Je, kuna uhusiano wowote kati ya huyo Bridgedia Warioba na jaji warioba wa Tanzania?
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika kama Serikali ingeweka busara mbele na kuzuia matumizi ya nguvu kupita kiasi.
Jaji Warioba alisema hayo juzi mjini hapa, alipokuwa akichangia mjadala katika kongamano la uzinduzi wa...
Friends and Our Enemies...
Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni...
Nimefurahishwa sana na viongozi hawa kujitokeza na kuwa wawazi kwa yale yaliyojiri katika awamu ya iliyopita
Ni ukweli japo mchungu kwa baadhi yetu
Sisi kama Taifa kuna mahali tulikua tunaelekea kupoteza dira na umoja wetu
Ukabila na ukanda zikawa ndio qualities (sifa) za MTU kuwa viongozi...
Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu?
Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza.
Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
Jaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya.
Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote.
Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya...
Source: Warioba amshukia Prof Shivji | Mwananchi
Dar es Salaam. Mjadala wa Mabadiliko ya Katiba jana ulihamia nje ya Bunge wakati Jaji Joseph Warioba alipomchambua mhadhiri maarufu nchini, Profesa Issa Shivji akimueleza kuwa si mkweli bali mpotoshaji wa Rasimu ya Katiba.
Jaji Warioba, ambaye...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema tangu Uhuru, Tanzania imepiga hatua kubwa mpaka kuingia Uchumi wa Kati lakini bado yapo matatizo hasa katika eneo la umasikini.
Akizungumza katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Kitaifa ya Hayati Edward Sokoine uliofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.