Huyu jamaa kwani aliwazaje kuongoza nchi iliyojaa ufisadi kiasi kile, lakinin ajira zilikuwepo za kutosha, mishahara ikawa inapanda kila mwaka, makodi na matozo ya kukomoana haya yalikuwa hayapo, Demokrasia ilitawala na watu walikuwa na pesa.
Tangu atoke wameingia hawa wawili ambao wanatuambia...