jakaya kikwete

Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Shujaa Mwendazake

    Kikwete aliuwezaje huu usanii wa "hata mi mwenyewe ndo nalisikia saa hizi"?

    Enzi za JK kulikuwa kunaibuka Agenda tata sana mwenyewe anasafiri zake kama mwezi watu wanaongea wanapambana wao kwa wao kila mtu anakuwa na mtizamo wake. Siku anarejea waandishi kibao airport wanamuuliza Mh hili suala vipi anawajibu hata mwenyewe ndo nalisikia saa hii Dah nimemkumbuka Mzee...
  2. A

    Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

    Jarida la The African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake zilizopigwa chini na Magufuli kama mradi wa Bagamoyo. Jarida lengine la the Africa Report...
  3. Nigrastratatract nerve

    Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  4. Shujaa Mwendazake

    Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia, mazishi ya Kaunda

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa Mwendazake Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda. Hapo awali nilishuhudia mkutano kati ya Bwana huyu na Balozi wa Marekani, ukiachilia mambo...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali ya Kikwete ishitakiwe kwa kupoteza pesa za umma kupitia mchakato wa Katiba mpya

    Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni. Pesa zikapotea, muda ukapote. Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete...
  6. kimsboy

    Aliyetufikisha Uchumi wa Kati ni Kikwete na siyo Magufuli, acheni kudanganya!

    Unajua hawa watu wanatufanya mazezeta aisee ukweli ni kwamba kikwete ndo alifanya Tanzania kuingia uchumi wa kati kwa hoja zifuatazo: Kwanza kabisa kigezo cha kua uchumi wa kati mdogo unapaswa uwe na Per capita income ambayo ni dola za kimarekani $1036 hadi $4045. Kwa uchumi wa kati mkubwa...
  7. Mung Chris

    Kinachokwamisha posho za askari zisilipwe kwa wakati ni nini?

    Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi. Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema...
  8. U

    Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Rais Mstaafu awamu ya nne, Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete ameshiriki kuwatunuku Degree kwenye duru ya kwanza ya mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Mei 27, 2021. PIA SOMA: - Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi...
  9. Corticopontine

    Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

    Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa...
  10. GUSSIE

    Jakaya Kikwete ni nguli na mwamba wa historia wa Tanzania na Afrika

    Kuna vitu mtu lazima ukubali kuna watu wamebarikiwa tu, Jakaya Kikwete ni mchumi lakini akisimama kwenye mimbari kuongea historia ya nchi hii wapi tumetoka, Tupo wapi na tunaelekea wapi huwezi kuchoka kumsikiliza. Hotuba ya Jakaya Kikwete kwenye mazishi ya Nelson Mandela hakika yalifungua macho...
  11. Mshana Jr

    Matukio mawili yaliyoniacha na tafakuri kubwa

    Naomba nisipingane na asili ambayo inalandana hata mitazamo ya kiimani kwamba ALIYE NACHO HUONGEZEWA! Kuna uwezekano mkubwa mabepari walijifunzia huku. Matukio haya mawili ni ya ma rais wetu wastaafu ambao kupitia kwao weekend iliyopita walisababisha mijadala mipana mitandaoni 1. TUKIO LA...
  12. Anderson Ndambo

    Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

    Habari za hivi punde ni kwamba, Gazeti la Mawio limefunguwa kwa miezi 24 kutokana na kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete kwenye mikataba ya madini
  13. RUCCI

    Donors Urge Jakaya Kikwete to act wisely on Cybercrime

    The European Union yesterday joined the Cybercrimes Act debate and urged President Jakaya Kikwete to listen to those who are opposed to the new law and decline to sign it. Speaking with The Citizen yesterday, EU Delegation Head Filiberto Sebregondi and Development Partners Chairperson Sinika...
  14. Mwana Mpotevu

    Rais Kikwete amteua Prof. Mussa Assad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS PRESIDENT'S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM. Tanzania. Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com Website : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 TAARIFA...
  15. Njaa

    President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

    Alipopewa honorary doctorate basi ikawa initial rasmi Dr. Kikwete mpaka ikawa inaboa......, sasa kapewa honoray professorship huko china. Anzeni kumwita Prof. Kikwete tuone.... Hata maji marefu nae ni Professor, kuna prof. Jay wa mitulinga, kuna Dr. Cheni...., sio mbaya kuwa na Prof. Kikwete...
  16. S

    Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

    Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu. Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na...
  17. R.B

    Kikwete visits TEF chairman Mr Absalom Kibanda in South Africa

    Kikwete visits TEF chairman in South Africa President Jakaya Kikwete has visited in hospital the chairman of Tanzania Editors' Forum (TEF) and Managing Editor of New Habari (2006) Corporation, Mr Absalom Kibanda (47), who is admitted to one South African hospital undergoing treatment after...
  18. shadow recruit

    Kicks and blows as CCM marks 36th year

    By Elisha Magolanga, Florence Mugarula Dodoma/Kigoma. An exchange of blows between some ruling CCM carders and those of the main opposition Chadema almost spoilt the countrywide celebrations to mark the formers 36 years since its founding, the cause of the fight being a venue in Dodoma...
  19. kupelwa

    Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama kuanzia tarehe 1 Julai, 2012. Uteuzi wa Bwana Kattanga ni sehemu ya utekelezaji wa Muundo Mpya wa Mahakama, na utekelezaji wa Sheria ya...
  20. Yericko Nyerere

    Uhusika wa Rais Kikwete katika utapeli wa Richmond...kwa mujibu wa Lowassa ?

    HATIMAYE Edward Lowassa ametoka hadharani na kuonyesha kuwa anataka kupimana ubavu na Rais Jakaya Kikwete. Ameeleza hadharani kuwa Rais Kikwete anahusika kwenye mkataba tata wa Richmond/Dowans; lakini pia, kuwa hafuati taratibu katika kuongoza chama chake. Lowassa ambaye alikuwa nguzo muhimu...
Back
Top Bottom