jakaya mrisho kikwete

Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    RAIS MSTAAFU MH JAKAYA MRISHO KIKWETE ALILENGA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU ILA RWANDA WAKASHUPAZA SHINGO

    Sikiliza mwenyewe kupitia hii link https://x.com/EggleVuvu/status/1885185539365564674?t=eqx2xm8OPAYKondHhO_7DQ&s=08
  2. J

    Kikwete alitamani kutuachia Katiba mpya lakini hakuweza. Ni wakati wa Samia kufanikisha hilo

    Kila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie. Mzee Kikwete alitamani kutuachia Katiba Mpya Lakini Wakati Ule haukuwa na kusudi la Katiba Mpya ndio Sababu alipata Upinzani ndani ya chama chake. Wakati tulionao sasa ndio wakati wenye kusudi la Katiba Mpya. Rais Samia akitamani...
  3. U

    Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  4. L

    Heri ya kuzaliwa Jakaya Mrisho Kikwete, nguli wa diplomasia na mwanajeshi uliyeiva

    Ndugu zangu Watanzania, Ninayo furaha kubwa sana Moyoni Mwangu kumtakia heri ya kuzaliwa mzee wetu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya Nne,Mwanajeshi mstaafu,mwanadiplomasia Nguli,Mwana Demokrasia aliyekomaa,Kipenzi cha watanzania na waafrika na DUNIA nzima kwa...
  5. Legacy ya Rais Mstaafu Awamu ya Nne, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete

    Nachukua fursa hii kusema yafuatayo kuhusu Rais Mstaafu Awamu ya 4 Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. 1. Aliishi Katiba na Demokrasia kwa vitendo. 2. Alistawisha demokrasia ya vyama vingi. 3. Aliamini katika checks and balances mahakama na bunge vilikuwa huru. 4. Aliboresha mishshara ya watumishi wa...
  6. Leo nimewakumbuka Jakaya Mrisho Kikwete, Thomas Sankara, na msanii Harmonize katika mambo haya!

    💼MHADHARA WA KUMI (10) Yawezekana mwenzetu umekuwa Bosi au utakwenda kuwa Bosi mpya kwenye shirika, kampuni, taasisi, au ofisi fulani. Najua unajua lakini ngoja tukumbushane; Kuna tabia ya baadhi ya wafanyakazi kwenye maofisi, mashirika, makampuni na maeneo mengine ya kazi huwapokea mabosi wapya...
  7. Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete atakumbukwa milele kwa kuimarisha demokrasia nchini

    Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ni kiongozi miongoni mwa viongozi pekee barani Afrika walioweza kuimarisha demokrasia nchini japo kuna baadhi ya madhaifu machache yaliyoweza kuripotiwa, mfano utekwaji wa mwenyekiti wa madaktari Dk. Ulimboka, lakini tukiondoa madhaifu haya Rais mstaafu Dkt...
  8. J

    Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

    Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee. Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake. Pia soma - TANZIA - Yusuf...
  9. J

    Ukimpa Waziri Mkuu TAMISEMI unaipata Serikali ya Tanganyika kama alivyofanya Rais Mstaafu Kikwete

    TAMISEMI Ndio Tanganyika yenyewe kwani Mkurugenzi ana Idara zote ambazo kwenye Muungano tunaita Wizara na anao Jeshi la Mgambo kuhakikisha Usalama katika level yake. Kikwete akiwa Rais aliiacha TAMISEMI kwa Waziri Mkuu lakini alipoingia Shujaa Magufuli aliirejesha TAMISEMI Ikulu akihofia Ule...
  10. Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu ni kufuru

    Tanzania = Tanganyika + Zanzibar 🙏 • Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere. • Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi. • Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa • Mke wa Jakaya M. Kikwete, Salma Kikwete • Mke wa John P. Magufuli, Janeth Magufuli • Mume wa Samia S. Hassan, Hafidh...
  11. Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

    Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni. Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga. Pia soma: Wafahamu Wagombea wa Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa...
  12. Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete yuko wapi?

    Mzee wetu simsikii wala haonekani. Nimeuliza tu.
  13. Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu. Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake? Mimi...
  14. L

    Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyenishawishi kujiunga CCM mwaka 2005

    Ndugu zangu, Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga vijijini, mji mdogo wa Laela Jimbo la Kwela lililokuwa linaongozwa na Marehemu Chrisant maji ya Tanga Mzindakaya. Nilikuwa huko kwa baba yangu mdogo ambako...
  15. M

    Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

    Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya! Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka...
  16. Mzee Kikwete akanusha kuwepo kwa Mawaziri wanaotafuta fedha na mikopo nje ya nchi kumg'oa Samia Uchaguzi 2025

    TAFAKURI YA KAULI YA RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIYOITOA KWENYE MKUTANO MKUU WA 10 WA CHAMA CHA MAPINDUZI 8/12/2022 DODOMA Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amemtaka Mh. Rais Samia Suluhu Hassan asisikilize porojo zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa kuna mawaziri wanaokwenda nje ya nchi...
  17. Happy birthday Mzee Jakaya Kikwete

    Leo 07.10.2022 Mzee Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne Nchini Tanzania anatimiza miaka 72! Je, unakumbuka yapi toka kwenye uongozi wake? Tumtakie maisha mema na yenye baraka tele!
  18. Jakaya Mrisho Kikwete, Raisi Mstaafu aliyejaaliwa hekima nyingi

    Wasalamu wana JF, Wakati tukimaliza matanga ya bibi yetu Elizabeth, nimetafakari sana mienendo ya viongozi wetu hapa Tanzania. Hakika, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na madhaifu yake ni mtu mwenye hekima nyingi. Huyu mzee alitufumbua kuhusu kuchanganya akili za kuambiwa na za kwetu. Hali...
  19. T

    Viongozi wa Dini wamenikwaza sana! Rais Samia na Mamlaka zake zisikubali huo mtego

    Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu. Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...
  20. J

    Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

    Ijumaa khareem, Kwaunyenyekevu mkubwa naomba kuwarejesha awamu ya nne Pale tulipoambiwa kuwa Mtoto wa Rais wa Tanzania wakati huo Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani Kikwete amekamatwa huko Hong Kong China akifanya biashara ya madawa ya kulevya, Kwakuwa sheria za Nchini China ukiiondoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…