jakaya mrisho kikwete

Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950) is a Tanzanian politician who was the fourth president of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as president, he was the Minister for Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He also served as the chairperson of the African Union from 2008–2009 and the chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security from 2012–2013.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Barua ya wazi kwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Hivi wakati unaweka ndani Masheikh wetu ulikuwa unafikiria nini?

    Mzee Jakaya! Shikamoo mzee, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Naomba nikupe taarifa tu kuwa jela kuna Masheikh zaidi ya 150 , na wengi wao waliwekwa ndani kipindi cha utawala wako. Hivi mzee ulikuwa unafikiria nini kwa mambo haya? Ninafahamu kuwa wewe personally siyo mtu...
  2. M

    Heri ya siku ya kuzaliwa kwako Rais Mstaafu Mzee Jakaya Mrisho Kikwete

    Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa! Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa waliokomaa! Kipindi cha uongozi wako, kulikuwa na uhuru sana, tofauti kabisa na awamu ya tano, watu...
  3. RUCCI

    Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

    JK ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE NA MANAIBU KATIBU WAKUU WATANO WAPYA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbali mbali. Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya...
  4. S

    Kikwete azuia mawaziri kutoka nje ya Dar es Salaam

    Katika kile kinachoonekana ni dalili ya kufanyika kwa mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni,raisi Kikwete amewazuia mawaziri wake kutoka nje ya Dar-es-Salaam. Tangazo hilo limeonekana kuwashitua mawaziri. ================= MAWAZIRI wote wamezuiwa kusafiri kikazi nje ya Jiji la Dar es...
  5. Njaa

    President Kikwete awarded Honorary Professorship by China Agricultural University

    Alipopewa honorary doctorate basi ikawa initial rasmi Dr. Kikwete mpaka ikawa inaboa......, sasa kapewa honoray professorship huko china. Anzeni kumwita Prof. Kikwete tuone.... Hata maji marefu nae ni Professor, kuna prof. Jay wa mitulinga, kuna Dr. Cheni...., sio mbaya kuwa na Prof. Kikwete...
  6. O

    Waraka wa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Ndg. Absalom Kibanda kwa Rais Jakaya Kikwete

    MHESHIMIWA Rais wangu, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Nakusalimu kwa salamu ya utii inayotambua na kuheshimu kwa dhati mamlaka makubwa na ya juu uliyonayo kama mkuu wa taifa letu ambalo mazingira yake ya leo yanapaswa yawe wenye mwelekeo wa kushangilia kama si kujivunia uhuru ambao tuliupata...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rais Kikwete aombwa kulivunja tena baraza lake la mawaziri

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Jakaya Kikwete kuvunja Baraza la Mawaziri kisha awaondoe wanaotajwa kuwa mizigo. Akizungumza Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa Rasimu ya Sera ya Chadema ya Mabadiliko ya Tabianchi, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, John Mnyika...
Back
Top Bottom