Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa!
Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa waliokomaa!
Kipindi cha uongozi wako, kulikuwa na uhuru sana, tofauti kabisa na awamu ya tano, watu...