jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Beach

    Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

    Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻 ".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
  2. pabro11

    Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

    Wakubwa Habari... Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa? Ni mimi ndio sielewi ? Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge? Ama ile option ya betslip scanner...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kiranga na jamaa zake wanaweza wasionekane kwenye thread mbalimbali lakini uzi wowote unaomsifia Mungu huwakosi

    Huwa najiuliza sana kwanini huyu Kiranga na wengine wengi huwa wanajitokeza kwenye uzi wowote ule unao muhusu Mungu na lengo ni kupinga uwepo wake. Haijarishi hujamu mention dk1 ni nyingi hawa hapa. Ni kwamba wakuu msipopita kimyamya tu mkatuacha sisi tunaokubali na kuamini uwepo wa Mungu...
  4. Teko Modise

    Huyu jamaa anahitaji ushauri wa haraka ili kuokoa uhai wake

    Jamaa anaonekana ni kama ana tatizo la kisaikolojia. Amekuwa akijirekodi na kujirusha katika mitandao ya kijamii akinywa pombe kali mbalimbali. Style yake akiweka chupa mdomoni hatoi mpaka ahakikishe kinywaji kimeisha. Mnaomfahamu, huyu kijana anahitaji msaadana ushauri wa haraka la sivyo uhai...
  5. LIKUD

    Jamaa kaongea ukweli mkubwa sana kwa wanao chapiwa wake zao

    Jamaa yako akichapiwa mpe ujumbe huu utamfariji sana
  6. R

    Wachawi Wana Roho mbaya, jamaa alirogwa mguu mmoja unapiga mateke wenyewe unlimited, day and night!

    Hellow! Kama una ndugu Yako anaenda Kwa Waganga usicheke naye, aweza kukutegea mtego na kukumaliza, Imeandikwa ,adui wa mtu ni yule wa nyumbani mwake, yule aliye karibu, mke, mume,shangaji nk nk, Ndugu ZANGU ni akina nani? Aliuliza swali hili Yesu, na akajibu, ndugu ZANGU ni Hawa wasikiao na...
  7. Morning Glory1

    Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

    Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
  8. M

    Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  9. K

    Kuna jamaa yangu ameenda kwa mganga ili kuwekwa sawa kwa ajili ya kupata hizi kazi za TRA.

    Wakuu heri ya jumapili. Sijajua ni kuchanganyikiwa au vipi,kuna jamaa yangu kafunga safari kaenda huko kwao Magu kwa mganga ili tu awekwe sawa kwa ajili ya hizi kazi za tra zilizotangazwa majuzi. Jamaa mwanzo alinidokeza hilo jambo na akawa ananishawishi na mimi niunge tera but mimi sio muumini...
  10. B

    Rafiki yetu! Alipopata Range rover! akaanza kutudharau mimi ni jamaa yangu!

    Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu" Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda kupiganisha makarashani/maduara(migodi midogo) mchizi kapiga Bingo Mara ghafla kanununua range rover, anapanga...
  11. Trainee

    Zuku ni kampuni ya hovyo kuwahi kutokea, nimewachukia mno hawa jamaa washenzi sana!

    Usishangae wala usitahamaki maana kwa ujinga walio nao hapo sijawatukana kabisa. Nimewaita washenzi hapo ili kupunguza ukali wa maneno tu lakini nilitamani nitumie maneno zaidi ya hilo kabisa Hawa watu king'amuzi kimezingua nikawapigia kuwauliza nijue tatizo ni nini. Sasa kwa maswali...
  12. T

    Jamaa anaosha maziwa kabla ya kupeleka sokoni

  13. T

    Jamaa kaamua kujipa raha Mwenyewe. Kaigeuza Changamoto kuwa Fursa

  14. Chizi Maarifa

    Kocha Mpya Asema Yanga wanapangiwa match kila baada ya siku 3. Jamaa ana kitu atafika mbali

  15. Jobless_Billionaire

    Umewahi kufukuzia mpenzi ila siku mmepatana ukapoteza mzuka naye nae?

    Wakuu kwema.. Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata kuwin ila dakika za mwisho ukashindwa kuamini ulichokutana nacho ni kweli au unaota.. Binafsi...
  16. Eli Cohen

    Unakuta tu amefika mji fulani kikazi anaanza kusema "duh huu mji una guest houses nyingi". Sasa unajiuliza jamaa akaenda kufanya sex tour ama nini😂

    Wewe umejuaje ni nyingi,😂😂😂 Shauri yako na wakati huu mtakondeana kama mshumaa kwa maana USAID wamed*nda hawatoi mavidonge ya bure
  17. K

    Kuna jamaa alikuwa anaitwa ‘Pwayungu Village’, amepotelea wapi?

    Mwalimu Mpwayungu Village amepotelea wapi Trending thread kama 1.Najuta kuzaliwa mwanaume😂✋ Huyu mwalimu yupo wapi amepotelea wapi ndugu mwalimu wa kiswahili.
  18. Lighton

    Kifo cha huyu jamaa kimenishtua, kimeniumiza, kimenifunza

    Habar za mchana wanajamvi. Leo asubuhi nimepokea taarifa za kifo cha kijana mwenzetu. Ni mshkaji flan mpambanaji, ni mjasiriamali mwenye weledi, alipotoka mpaka alipofika inaelezea uhalisia wake wa upambanaji. Jamaa ni mtaratibu sana, ukiachana na kumfaham Kwa ukaribu, niliwahi kumsikia mke...
  19. LA7

    Nimetazama hii picha ya mwanaume aliye iacha familia na Ndugu zake TZ kweli jamaa wamejitolea aisee

    Nawaombea wote warudi salama💪
  20. Nomadix

    Huyu jamaa alikuwa ni nani? Alikuwa akifurahisha sana

    Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza. Hamjakaa sawa haha mara paah anatokea huyu mwamba Unaskia "Saidia kukuza ubora wa filamu Tanzania saidia kuinua wasanii...
Back
Top Bottom