Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani
Pascal Mwakyoma TZA
on
April 13, 2021
Kijana aitwaye Abraham Nduba, mwenye umri wa miaka 26 kutoka kaunti ya Murang’a nchini Kenya amekamatwa na kutupwa jela miaka mitano baada ya kuungama kanisani kwamba ni mwanachama wa genge la uhalifu eneo hilo...
Kamwenee bee, miaka hiyo natoka advance nikaomba course ya law chuo flan cha serikali. Nashukuru Mungu sana nikipata. Time ile tuliripoti chuo kama sikosei mwezi wa kumi hivi, basi kufika chuoni rasta nilikuwa mwenyewe tu, enzi hizo marasi hatukuwa wengi. Ila tulikuwa wale marasta by nature sio...
Kweli milima haikutani jambazi lililotuibia tv mwaka 1988 Raskazone Tanga nimeliona leo limezeeka linaishi kwa mtoto wake pale Mabibo jeshini linaumwa figo miguu imevimba balaa.
Kilichofanya nimtambue ni kovu lake juu ya jicho na huyo mwanae anaeishi nae japo wao wamenisahau.
Moyo unaniambia...
Katibu mkuu wa shura ya maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa ponda akamatwa na polisi hivi punde
Amekamatwa akiwa anatoka Msikitini sala ya Alasiri saa kumi na Moja maeneo ya Ilala. Alivyotoka Msikitini anataka kuingia kwenye gari yake ndo Wakamkamata.
Kwa sasa wapo wanasheria wanafuatilia...
Wanasema Zitto sio jambazi na mwizi kushikiliwa vile kama alivyofanyiwa na askari aliyemkamata hawaamini kwanini alimuharasi kiasi kile.
Wanasema Zitto ajavunja sheria yeyote na mikutano ya ndani haijakatazwa mpaka mtu akamatwe kama jambazi wazee wanasema wanampa muda yule askari aombe radhi.
Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar.
Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live.
Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja...
Habari za wakati huu wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuangalia na kutazama mtifuano ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara baina ya polisi na mahali wanapokuwapo viongozi wa chadema.
Tukilejea matukio machache kuanzia maandamano ya wanachadema mwaka 2012 jijini Arusha, uvamizi wa...
Jambazi sugu aitwaye Ali Mtemi amejisalimisha katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa kuuwawa na Askari wa doria mara nne katika Wilaya ya Kigamboni huku baadhi ya wengine katika kikundi chake wakiuwawa na kukamatwa.
Polisi wamekuwa wakimsaka kwa muda mrefu ambapo amekuwa...
Ukiona hiyo System ya Brela ilivyopambwa na kuandikwa vitu vya maana.... Unaweza kufikiria kuwa vilivyomo ndani vina akili sana kumbe Uozo mtupu.
Uncle Magu pitia pale Brela kumbe unatupiwa lawama nyiiingi, kuhusu biashara - Wahuni wameisha jenga ngome yao pale Brela. wako kwa ajiri ya Maslahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.