Naona kila ambaye hataikii mapambio yanayoimbwa na machawa ya kwamba Mtu yule anaupiga mwingi ampaka anatoka nje ya uwanja basi Rungu la taasisi zake lazima lije juu ya kichwa chako chap kwa haraka.
Mnafurahia sana kuishi gizani ili mfanye mambo yenu ya ajabu bila kuhojiwa mnataka media zote...