Ni mwendo wa kufungia kila asiyeitikia pambio la anaupiga mwingi?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Naona kila ambaye hataikii mapambio yanayoimbwa na machawa ya kwamba Mtu yule anaupiga mwingi ampaka anatoka nje ya uwanja basi Rungu la taasisi zake lazima lije juu ya kichwa chako chap kwa haraka.

Mnafurahia sana kuishi gizani ili mfanye mambo yenu ya ajabu bila kuhojiwa mnataka media zote Bongo ziwe za ndio mzee na watu wote ndio mzee hata wale ambao watajaribu kuhoji hata vitu vidogo au kutoa maoni binafsi nao mnawapiga pini ajabu kabisa.

Nyie watu nyie hamuwezi kuliziba jua kwa ungo, nawakumbusha tena hamuwezi, hamuwezi kuwanyamazisha watu wote. Mtafungia hawa kesho wanaibuka wale, ila freshi kwa kuwa tayari tunawajua rangi zenu hamtupi shida kabisa tutakomaa na nyie hivyo hivyo tutatumia kila mbinu ilimradi hii vitu ushindi uwe kwetu hamuwezi kutunyamizisha ni haki yetu na tutaipigania.

Haya mmemalizana naye nani anafuata? Hamna aibu hata kidogo japo mnatulaghai mtaitumia aibu kama njia ya kuadhibiana na wakati dhairi umeikosa.

Pia soma: Jambo Online TV wafungiwa kwa siku 90 na TCRA
 
400fa9f6-66aa-48b6-a91a-5a9863f62e80.jpeg
 
Back
Top Bottom