Kwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa.
Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza...