Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.
Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia, hata Mods humu hawaupendi. CCM ni chama pekee cha siasa ambacho hakiwezi kunyooshewa kidole cha udini. CUF ilikuwa na nguvu sana, lakini kila mtu aliona kupitia safu yake ya juu kilivyoegemea dini fulani. CDM kilikuwa na nguvu, na hata leo kina nguvu...
nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea
sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo
sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka...
Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando .
Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao.
Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka.
Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa...
Ndugu zangu nataka niwatoe wasiwasi kuwa kujamiana sio jambo baya na msiogope kujamiana nawaomba mzingatie yafuatayo:
Usijamiane na mme au mke wa mtu
Usijamiane na watoto
Usimlazimishe mtu kujamiana nawe bila ridhaa yake
Zingatika kinga na hakikisha unazuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa...
Viongozi wa CCM wamekuwa wakitu elezea kuwa ili katiba iwe na manufaa kwetu inabidi wananchi tuelimishwe hiyo katiba, hilo ni jambo jema.
Elimu hiyo yenye viwango vya chuo itatolewa na viongozi wa CCM ambao hatujui waliwezaje wao kusoma wakatusahau wananchi, hata hivyo darasa ni darasa wapo...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili Ngorongoro ambako anatarajiwa kuwasha moto wa Ukombozi na kukata minyororo ya Utumwa waliyofungwa Wamasai.
Nakala : Maulid Kitenge
Angalizo : Usiondoke JF kuna mambo mazito mno yanakuja .
Habarini za asubuhi, nikiwa na masikitiko makubwa naomba ni address hili suala la mafuta kiukweli limekuwa zaidi ya changamoto
Sikudhani hali ingefikia huku yaani leo nikiwa safarini mkoani nikipita huku maeneo ya Chunya Mbeya mji mzima ni shell moja tu ndio inayouza mafuta
Na hiyo foleni ya...
Maisha siku zote ni mfano wa Mashindano na sio kila anayeshiriki anahitaji Ubingwa au taji Kuna timu zinashiriki ili tu zisishuke Daraja. na hizi timu ndo nyingi Sana (WATU).
Hivyo Kama mtu una kusuduio lako unalohitaji kulitimiza hapa Duniani na kushinda taji hili Muhimu linaloitwa MAISHA basi...
Wanabodi,
Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!
Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.
Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo...
Madhara yake ni makubwa au utaishia kudharirika huko mbeleni.Moyo haudanganyi ....kama ni tamaa zakupa nguvu na ukishatimiza unajutia bas Hilo jambo acha mara Moja
Kama unapiga nyeto...usipoacha nguvu za kiume kukupotea kutakuumbua
Unalala na housegal....mimba au ukimwi utakuumbua na ndoa...
Mjumbe wa Baraza la Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa, Mhandisi Fatma Rembo akizungumza na Wanawake wa Mafinga Mji, Iringa amewaomba waendelee kushikamana kwani tunaelekea kwenye Uchuguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi...
Wanajamvi na wazee wa itifaki na protoko nisaidieni kuelewa jambo hili; hapo siku za nyumba tumekuwa tukishuhudia nyaraka za serikali JMT huwa inasainiwa na mwakilishi mmoja mahususi haswa kwenye maswala ya JMT.
Ila nimepita kwenye hii matokea ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi...
Binafsi katika think tank ambazo nimeona utendaji wake live pale ardhi ni huyu mwamba, na ni kilio changu kila siku arudishwe ardhi,kwani utendaji kwa binafsi yangu,dawati la kinondoni,ni shida,
Get listen!👇
Hello JF,
Nitoe angalizo na kuwakumbusha viongozi au wenye mamlaka, acheni kulalamika au kuaibisha mamlaka zenu au nafasi mlizonazo, fanyeni kazi, nchi hii ina heshima kubwa epukeni kuaibisha nchi.
Mnaowateua hawaombi kazi sasa iweje uropoke maneno ya aibu kwa taifa, libebe mwenyewe kifuani...
Makamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA.
Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo...
Asikwambie Mtu Uongozi ni kitu moja kigumu sana. Uongozi wa aina yoyote ile hata kama una ongoza watu 20 kuna challenges kibao lazima kichwa kiume.
Sasa unapokuka ngazi ya uraisi ndiyo balaa zaidi nywele zote kichwani zinaweza kuisha kwa kuwa na majukumu mengi.
Cha kushangaza mtu anakuwa...
Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria.
Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na...
Jambo letu tena!
Jipe thamani mwenyewe. Usijichukilie kuwa mnyonge sana. Jikumbushe mambo mazuri mengi uliyofanya. Jikumbushe mbali ulikotoka na mengi uliyoyafanikisha. Utagundua kuwa wewe ni wa pekee.
Jikumbushe mara nyingi kuwa wewe sio wa kawaida. Mafanikio yako ni matokeo juhudi zako. Hata...
Jambo letu tena!
Muonekano wako pekee hautoshi kuwaeleza wengine uwezo wako au nguvu zako. Jitahidi kuwavutia wengine kwa namna utakavyotumia akili yako kutatua changamoto zinazoisibu jamii.
Ichangamshe akili yako ili upate namna ya kuepuka mawazo yasiyosaidia lolote. Jizoeze kujikubali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.