jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Kuchapiwa ni jambo la kiuokoo/kifamilia (kiroho zaidi). Fanya yafuatayo kuepuka kizazi chako kuchapiwa

    Nimeandika uzi huu baada ya suala la Haji kutamalaki. Ni hivi kuchapiwa mke most of the time huwaga ni laana ya familia, ukoo au hata kabila. Ndio maana ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu kuhusu wanaume wanao chapiwa utagundua kwamba katika familia au ukoo wa mwanaume huyo kuna historia ya...
  2. Dr Akili

    Mabishano kati ya medical professionals yanayolenga interests za mgonjwa ni jambo la kawaida na ni ethical

    Mabishano kati ya medical professionals yanayolenga kupata huduma sahihi na safi kwa wagonjwa wao ni kitu cha kawaida na cha kila siku. Mabishano au mijadala ya namna hiyo kuna wakati mwingine inakuwaga mikali sana (heated). Mijadala hii hufanyika aidha kati ya mtu mmoja mmoja au kivikundi...
  3. L

    Ukiwa na jambo lako, kaa nalo

    Ukijaribu kumhadithia rafiki yako mambo yako nyeti walahi kesho utakuta ameweka uzi humu. Ni afadhali matatizo yako uchakate na serikali yako ya ubongo.
  4. T

    Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

    Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa. Kama ni...
  5. Escrowseal1

    Ni jambo gani unatamani ungepata majibu toka kwa kiongozi wako wa aina yoyote ndani ya 2023 ambalo linaongoza kukukera toka 2022?

    Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni; 1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake? Mwenye most...
  6. Dra Maxie

    Kuna kitu wana JF hawakijui?

    Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje
  7. technically

    Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

    Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme. Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
  8. NetMaster

    TRA wana jambo lao, Sio kwa watu maarufu tu, ndugu yangu alieanza biashara 2015 kwa mara ya kwanza kapigwa faini nzito ya kukwepa kodi,

    Nimejiridhisha kwamba kwa sasa TRA wana jambo lao kwa wakwepa kodi maana si kwa kelele hizi, wakiona unakwepa wanapita na wewe. Mwezi uliopitwa nilipatwa na simanzi baada ya kuona ndugu yangu kapatwa na pigo zito la kulipa faini ya TRA, masikitiko yake yamenigusa na mwanzoni nilidhani kaonewa...
  9. Rusumo one

    Kupitisha Elimu ya Msingi kuishia std 6 Nchini hili jambo lipoje?

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita Naibu Waziri wa elimu Nchini alizungumzia kuhusu wanafunzi wa S/M kuishia std 6 kuanzia mwaka 2023. Sasa hii ni Dec 30 na alisema by this Dec 2022 ataweka mambo mezani ikiwemo kuondoa mitihani ya mwisho means mitihani itakuwa form 4, comb zitaanzia form 1. Pls Naibu...
  10. GENTAMYCINE

    Godfrey Nyange Kaburu kama Jambo hili tu jepesi na la Kikawaida limekushinda je, Uongozi wa Simba SC yetu utauweza?

    Utaratibu wa Wagombea uliwekwa wazi na hata Fomu ulizopewa zilijieleza kuwa kunatakiwa kuwe na Mhuri wa Kisheria na Saini yako Wewe kwa Kujifanya Alwatan ndani ya Simba SC ulivyojaza umeweka tu Mhuri bila Saini na Kuiwasalisha kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC ulitegemea nini...
  11. Komeo Lachuma

    Msijemwambia Pele kuwa anafananishwa na Messi

    Jenga picha Pele Mchawi wa Mpira, Huyu katika Biblia ya Soka ni Moses. Ni nabii mkubwa sana. Just imajini akiwa kitandani aambiwe Lione Messi anafananishwa naye. Atakata roho hapo hapo kwa uchungu. Msije mwambia jambo hili. Please sisi tuliokuwepo toka zamani tunao heshimu mpira na watu wake...
  12. jasyfabiano

    Kuota kuhusu jambo fulani na likatokea baada ya siku chache

    Kuna uhusiano gani uliopo kati ya ndoto anazoota mtu na zikawa kweli?
  13. B

    Ni Wakati wa Serikali kuacha Ubaguzi wa Sisi Wakazi wa Oysterbay. Nimekasirishwa sana na hili jambo

    Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua) Juzi wakati Mlinzi wangu...
  14. Mama Edina

    Nikimwambia Rais jambo hapa atanisikia? Ni muhimu sana

    Ilikuwa kwenye video ikitembea. Ilikuwa kikao nadhani kilifanyika dodoma mwezi huu wa 12, 2022. 1. Walimu waajiliwe wale wenye ufaulu mkubwa tu. 2. Walimu walioko kazini wapewe mafunzo ya mara Kwa mara lakini pia watatazamwa competence Yao kazini.(aliyasema haya Mh mhagama kule manyara kama...
  15. S

    Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    Kuna kila dalili kwamba SGR itakapokamilika bado tutakuwa na reli ya zamani ikitoa huduma. Hapo mwanzo nilifikiri kwamba reli ya zamani itaendelea kutoa huduma kwa matawi ya Tabora - Mpanda, na labda Dar -es Salaam kwenda Tanga, Moshi na Arusha, ambako sijasikia lolote juu ya kuwepo kwa SGR...
  16. B

    Shule bora Kilimanjaro hii hapa, mlete mwanao, tunakuhakikishia atakuwa wa kwanza kwa kila jambo

    Hello wanajukwaa, Je, unafikiria shule Bora Kilimanjaro yenye Ada nafuu Kilimanjaro!? Nazarene ndio JIBU lako, mlete mwanao apate elimu Bora na malezi sahihi kwa mustakabali wa maisha yake! Ada yetu Ni nafuu Sana na hulipwa kwa awamu! Ni shule pekee,ambayo wahitimu wake wote waliomaliza vyuo...
  17. Allen Kilewella

    Kama kuwa na ofisi ni jambo la maana, CCM isingeyumbisha nchi namna hii

    Kuwa na Ofisi ni sehemu ya utambulisho wa mahali taasisi fulani inapatikana. Lakini kuwa na Ofisi hakuhusiani na uimara wa taasisi husika. Makampuni yanayofilisika au taasisi zinazoshindwa kujiendesha na hatimaye kufungwa, nazo pia huwa na Ofisi. Wakati Serikali ilipoamua kuyaunganisha...
  18. S

    Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

    Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji. Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza...
  19. T

    Jambo la CCM linateka attention ya nchi yote kuwa upinzani ni kupoteza muda na malengo

    Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM. Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa mtu hivyo ninaamini kwamba mtu akiwa na uwezo mkubwa, akapata jukwaa kubwa ni rahisi sana kutekeleza...
  20. INJECTION TECHNICIAN

    Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada Tutani, Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
Back
Top Bottom