jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima ametahadharisha unafiki wa kisiasa unaoendelea miongoni mwa Watanzania kwa sasa kwa kupenda kusifia kila jambo kuwa utaliua taifa. Amesema tabia hiyo inaendelea kupata mashiko nchini kutokana na upeo mdogo wa watu...
  2. C

    Najutia sana jambo hili

    THANK YOU,,,
  3. Haya wale Wayukrein wa Buza njoo kuna jambo huku!!

    Urusi imeanza kazi ya kuyagawa Maeneo manne ya Ukraine inayokaliwa na Urusi yameanza kufanya kura za maoni, ambazo zimeshutumiwa kuwa haramu na Kyiv na zinaonekana kufungua njia kwa Moscow kunyakua rasmi baadhi ya asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine. Upigaji kura katika Luhansk na Donetsk...
  4. Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

    Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima. Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo. Kilichonishangaza na Kunimaliza...
  5. Hili jambo ndilo ambalo lilinishtua Baada ya Kifo cha Magufuli

    Mafisadi Nchi nzima Yalifurahi sana. Yalifanya sherehe na kushukuru. Hapa nikafunguka macho. Huyu mtu kwa nini alichukiwa na Mafisadi? Hili lilinishtua sana. Nikaanza kujiuliza upya ni wapi nlikosea. Ndiyo....ni wapi nlikosea maana mimi mara ya kwanza sikuwa nakubaliana na mambo kadhaa ya...
  6. Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  7. Panya Road waua mtu mmoja Kawe na kujeruhi wengine watatu

    Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo Binti aliyetambulishwa kama Maria paschal Basso mwenye umri wa miaka 24. Eneo la tukio na...
  8. DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
  9. Tathmini ya Mwaka mmoja: TANESCO ya Maharage Chande na January Makamba imefanikiwa kwenye jambo gani?

    Wasalaam wanajamvi! Sasa ni zaidi ya mwaka mmoja tangu Mh Rais Samia achague mkurugenzi mkuu mpya wa TANESCO bwana Chande Maharage na baada ya hapo Waziri wa Nishati alivunja bodi ya tanesco na kuteua sura mpya ambayo alisema ni ya wataalam na wabobezi wanaojua biashara na ni weledi sana...
  10. Tanzania bila tozo inawezekana

    TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA. Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki,akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya...
  11. T

    Kama Tundu Lissu hakufa kwa risasi zote zile basi jambo zito sana Mungu atafanya katika siasa za Taifa hili

    Mh. Lissu kwa risasi alimiminiwa alipaswa kufa ila katika hali ya giza nene na mtikisiko katika siasa za Tz msg ikarudi marehem amefufuka. Wengi wetu tunaweza kusema mengi sana ila kiza kinene kimefunika hili tukio ambalo naamini limeandikwa kwa pen ya moto. Uwenda kikawa moja ya kisa...
  12. Kama Makamba atatenda anayoyazungumza kuhusu umeme ni jambo la muda, tutarajie umeme bora siku za mbeleni

    Nianze kwakusema mimi ni muhanga wa huu umeme wa Tanzania kwani nilishawahi kupata hasara ya mamilioni mara kwa mara kwasababu ya low voltage. Mimi ni mjasiliamali mwenye kiwanda kidogo hivyo kutokana na umeme kuwa mdogo ilikua inalazimu kuwasha machine mojamoja kwani mbili kwa wakati mmoja...
  13. Ni jambo moja tu linaloweza kumfanya mwanaume kamili akalia

    Twambombo wakuu! Mwanaume kulia ni mwiko! Haipendezi mwanaume aliyekomaa kulialia. Hata hivyo lipo jambo moja linaloweza mfanya mwanaume alie kama mtoto mdogo, nalo ni kifo. Kifo kwa wahusika wafuatao 1. Wazazi au mlezi Mwanaume anaweza akalia kwa kifo cha mama au baba yake aliyemlea. Zingatia...
  14. A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!

    Wanabodi Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri. Kisa chenyewe kilianzia miaka ya mid 1990s enzi hizo mimi ni mtangazaji nyota, naandamana na Rais Mkapa ziara za...
  15. SoC02 Kama unahitaji kufanikiwa kwenye jambo lolote, unapaswa kuwa na kasi(speed)

    Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa katika nyanja mbalimbali hasa za kiuchumi, kama unahitaji ufanikiwe haraka katika biashara yako au kampuni yako, kasi ni ya muhimu sana. Kama nilivyotangulia kusema dunia ya sasa ni ya ushindani hivyo unapaswa kuwa na kasi katika mambo yako...
  16. Daima usimdharau usiyemjua, mwenzenu leo nimekutwa na jambo

    Niko zangu kibandani kwangu, hua nauza nguo kwa jumla na rejareja. Mara ghafula wanatokea watu wawili wachafu, mzee kwa umri zaidi ya miaka sitini akiwa amevalia suruali yenye viraka kila sehemu ila sehemu inayoonekana zaidi ni maeneo ya kwenye zipu ambapo pameshonwa na uzi mweupe wakati suruali...
  17. Kwanini jambo hili ni nadra kulisikia kwa walimu, ila kwa hawa sijui kwanini!

    Sijui kwa upande wangu tu au hata kwako unaliona hili. Askari baadhi wamekuwa wanapiga sana mtungi na kupelekea kufukuzwa kazi. Mfano hai, ndugu yangu naye alifukuzwa kazi akiwa na nyota kisa pombe. Kwanini mambo haya hutokea zaidi kwa askari?
  18. Ilishindikana vipi jambo hili?

    Wakuu kunasabu gani kutokuwa na saini ya waziri wa fedha kwenye hela sh 50, 100, 200 na 500?
  19. Hasa akina Dada hili Jambo si sawa Jamani tunatafutiana tu sababu za kuonana wabaya n.k chonde chonde sisi wengine zinatuathiri sana tu

    Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ... Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa anaanika nje vifuniko vyake....siku moja nlimfuata na kumsihi sana asiendelee kufanya hivyo akaniambia...
  20. M

    Kusikiliza nyimbo za injili(dini) wakati 'mnangonoka' kwa wanandoa na 'mnazini' kwa wasiooana ni jambo jema?

    Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba. Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…