james mbatia

James Francis Mbatia (born 10 June 1964) is a Tanzanian NCCR–Mageuzi politician and a nominated Member of Parliament since 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. pakaywatek

    James Mbatia: Tunatoa pole kwa CCM kuondokewa na kada wao Hamza katika mazingira ya ajabu

    "Sisi NCCR-Mageuzi tunatoa pole kwa polisi waliouawa juzi, tunatoa pole za dhati kwasababu ni binadamu, wametoa uhai wao. Tunatoa pole kwa familia ya Hamza pia kwasababu huyu ni binadamu, wasiendelee kujenga chuki, tunatoa pole kwa wote, roho za binadamu zilizoondolewa. Tunatoa pole kwa chama...
  2. BAK

    James Mbatia: Samia Suluhu anahujumiwa

    Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
  3. Jensen salamone

    James mbatia afunguka mazito, awashukia vikali Rais Samia na jeshi la polisi

    Hatakama Watatuua sote hatuwezi kukubali Serikali inavyondeshwa kibabe bila kufuata Katiba, kila mtu kambale mamba masharubu tu hatuwezi kuendelea na mambo ya ajabu ajabu kama haya, kwanini hata kauli ya Amir Jeshi Mkuu haiheshimiwi!?? Tanzania tunaenda wapi??. Nasema kwa dhati kabisa kwamba...
  4. Q

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

    Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
  5. M

    James Mbatia: Rais Samia mwanzo alitoa tumaini, sasa hivi mambo yanavurugika

    ======== Mtangazaji: Wewe umeuonaje mpka sasa uongozi wa Mama Samia Suluhu Hassan? James Mbatia: Ndugu Samia Suluhu Hssan aliingia madarakani ile tarehe 19/03/2021 na akala kiapo kwa taratibu ambazo zimeweka na akatoa ahadi ambazo tuliamini kwamba atazitekeleza na akatoa ahadi ya kukuza...
  6. B

    #COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

    17 July 2021 Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19...
  7. B

    James Mbatia ni mfano wa kuigwa

    James Mbatia alichaguliwa na JK kuwa mbunge na baada ya kula kiapo kuwa mbunge hakubadili chama chake napale alipoona JK na serikali yake wanakosea alikosoa vikali, alikua akiongea mpaka spika za bunge zinatetemeka. Sikiliza nondo zake. Ni mwana siasa alieweka historia ya pekee japo hatuna...
  8. J

    Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

    Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni? Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani? Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa...
  9. T

    James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  10. NCCR Mageuzi

    TANZIA Makamu Mwenyekiti mstaafu NCCR Mageuzi Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan afariki Dunia

    Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia anasikitika kutangaza kifo cha makamu mwenyekiti mstaafu Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan kilichotokea siku ya Jumamosi Januari 30, 2021 Morogoro. Marehemu alikuwa mmojawapo wa wanachama waanzilishi wa...
  11. Superbug

    James Mbatia bado ana hamu na CCM?

    Naomba kujuzwa na ndugu marafiki jamaa na wapenzi wa ndugu yetu James Mbatia; je, bado anahamu na CCM? Maana walimpa wafuasi kibao kule Rungwe Busokelo juu ya yote akakaribishwa ikulu na Mh Rais. Swali langu bado ana mahaba na chama dola? Maana hata ubunge kakosa labda abebwe kwenye zile 10...
  12. NCCR Mageuzi

    Uchaguzi 2020 James Mbatia aomba kura nyumba kwa nyumba jimbo la Vunjo

    Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu Mbatia ameamua kuomba kura nyumba kwa nyumba huku kundi kubwa la wananchi na wanachama wa chama cha...
  13. Influenza

    Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

    Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020. Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba...
  14. Civilian Coin

    Uchaguzi 2020 James Mbatia (NCCR-Mageuzi) v Charles Kimei (CCM) - Jimbo la Vunjo

    NCCR Mageuzi Jimbo la Hai hawajasimamisha mgombea ili kumpisha Mwenyekiti wa CHADEMA na hivyo hivyo tunategemea CHADEMA wote wataelekeza nguvu zao zote kumpigia kura Mbunge James MBATIA kupitia NCCR MAGEUZI. Uongozi nikuachiana madaraka na kulindiana heshima #DON NALIMISON Simu Na. 0682 94 29 01.
  15. The Sheriff

    James Mbatia: Hakuna Chama kiranja wa vingine

    Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema hakuna chama cha siasa ambacho ni kiranja kwa mwenzake, huku akivitaka vyama katika uchaguzi mkuu kushindana kwa hoja. Sambamba na hilo, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha haki inatendeka kwenye uchaguzi huo kwa...
  16. GRAMAA

    James Mbatia: UKAWA ilituachia mzigo wa kulipa deni la Tsh. milioni 91 huku wakijua tuna mbunge mmoja tu

    Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza katika kipindi cha CLOUDS 360 cha Clouds TV amesema kuwa UKAWA waliwafanyia uhuni sana NCCR-MAGEUZI kwa kuwalipisha deni la milioni 91 huku wakijua kabisa NCCR-Mageuzi wana mbunge mmoja tu. Pia James Mbatia amekana kuwa chama chake sio CCM B...
  17. figganigga

    James Mbatia: CHADEMA wamenifanyia fujo kwenye chama changu na jimboni kwangu wakati wote tupo UKAWA, ulisikia nalalamika?

    Salaam Wakuu, Kuna kipande kidogo cha video kinasambaa Mtandaoni, James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akielezea kusikitishwa kwake na wanaomuona kwamba anavunja nguvu upinzania. Hapa chini nmenukuu kile alichokiongea na kukiandika hapa chini. Ameanza kwa kusema: "Mimi ni Mbunge wa...
  18. S

    Mwenyekiti James Mbatia msaidie Mwanachama wako mwenye kadi namba moja Mabere Marando arudi nyumbani huko ugenini anapata tabu

    Mabere Nyaucho Marando ndiye Mwanachama mwenye kadi namba moja ya NCCR Mageuzi,alizaliwa takribani miaka Sabini iliyopita huko Mkoani Mara Nguli huyu wa sheria ni miongoni mwa waasisi wa siasa za mageuzi hapa nchini akiwa na wenzako akina Bagenda, Ole Sirikwa,Komu, n.k Huyu Mbabe wa siasa za...
  19. J

    Gazeti la Tanzania Daima lamuomba radhi Mh. James Mbatia

    Gazeti la Tanzania Daima limemuomba radhi mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro Mh. James Mbatia kwa kumuandika ndivyo sivyo. Mhariri wa gazeti hilo ameomba radhi katika ukurasa wa mbele wa toleo la leo la Tanzania Daima. Maendeleo hayana vyama!
  20. digba sowey

    Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam. My take,hizi ndo siasa safi. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa...
Back
Top Bottom