Hii ni baada ya kuiumbua CCM na wabunge wake ndani ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hoja yake mujarabu kuhusu udhaifu wa sekta ya elimu hususani kutokuwepo kwa mtaala maalumu wa kufundishia kwa kukosa umakini na busara spika wa bunge kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge wa...