Kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya ugonjwa wa monkeypox nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kunaleta wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuenea kwa ugonjwa huo nchini Uganda.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema monkeypox inaenea kupitia kujamiiana na aina nyingine za mawasiliano ya...
Watanzania sijui tupo mbele Kwa Nani ahsee, sikwenda Kinshasa nilienda hapo tu goma kwenye watu hudanganyana Kuna vita, watu wanaishi maisha mazuri bongo huwezi kuyapata.
Mji umepangika kila mtu Ana pesa mfukoni ukikuta mtu ni fukara huyo Katoka bongo sio Kongo. Ukiingia club ni mwendo wa...
Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba Tanzania (TMDA) kanda ya ziwa magharibi, imekamata shehena ya sigara bandia aina ya SuperMatch yenye thamani ya Sh1.8 bilioni.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Septemba 28, 2022 na Meneja wa kitengo cha Uhusiano TMDA, Gaudensia Simwanza imeeleza walipokea taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.