jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    Hapa mzee amezingua kinyama. Aambiwe tu asifanye issue kuwa ya jamhuri wakati ni family matters

    Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele. Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi, Oktoba 23, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Antoine Tshisekedi, Oktoba 23, 2022 kwa Ziara ya Kiserikali
  3. S

    Nitakulipa vizuri ukinipa hotuba ya Nyerere kama India Republic Day Guest of Honour, 26 January 1971

    Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971. Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India Nimeuliza ubalozi wa...
  4. M

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  5. BARD AI

    Rais Ruto: Kenya itapeleka Wanajeshi kulinda Amani Jamhuri ya Congo

    Ruto amesema kwasababu Umoja wa Mataifa umetuma vikosi vyake kusaidia katika upatanishi wa amani na kupambana na waasi wa M23, kwa upande wa Kenya ikiwa ni sehemu ya EAC pia itajitolea kusaidia taifa hilo la Afrika ya Kati. Alibainisha kuwa kila nchi ndani ya EAC, ambayo DRC ni sehemu yake kwa...
  6. M

    Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  7. N

    SoC02 Nchi ya Jamhuri

    Nchi ya Jamhuri ilikuwa inaongozwa na katiba ya vyama vingi, katiba hio ilikuwa inaruhusu kila chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nyanja mbalimbali za uongozi ili kurahisisha maendeleo ya nchi hiyo ya Jamhuri Ila ifikapo mwaka 1980 kulikuwa na migogoro mingi sana kati ya jamii...
  8. BARD AI

    Congo DR yatangaza Ebola kurejea tena nchini humo

    Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini. Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo...
  9. Pascal Mayalla

    Just Imagine Umepokea SMS hii "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha ...."- Ungemjibu nini?

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!. "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakukaribisha kushiriki Sensa tarehe 23 Agosti,2022. Nakusihi utoe taarifa sahihi". Mimi nimeupata ujumbe...
  10. Lady Whistledown

    ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Africa ya Kati

    Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu( ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2013 Nourredine Adam, kiongozi wa kundi la Popular Front for the Rebirth of...
  11. BestOfMyKind

    Zanzibari si sehemu ya serikali ya Jamhuri? Hebu ona bei yao ya mafuta

    hii ni taarifa ya Zura(EWURA ya Zenji) mwezi huu tar 4 juu ya bei ya mafuta: Pettrol - Tsh.2642 , Diesel- Tsh.2644 na hii ni taarifa ya EWURA ya jamhuri tarehe na mwezi kama wa ZURA; Petrol - Tsh. 3148, Diesel - 3258 Maisha tunayoishi huku bara wapemba wasingeweza.
  12. J

    CUF yapendekeza Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amemtaka serikali ya JMT iwe ya. Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar CUF Ilikuwa inawasilisha maoni yake mbele ya Kikosi kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe. === Chama cha Wananchi (CUF) kimependekeza Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na muundo wa...
  13. JanguKamaJangu

    FT: Dodoma Jiji 0-2 Yanga / Uwanja wa Jamhuri / Dodoma / Ligi Kuu Bara

    Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
  14. F

    Kwako Dkt. Tulia Ackson: Kuhusu waliofukuzwa Chadema, mheshimu Sheria za nchi

    Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama wa dada zetu 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuwa wamevuliwa uanachama wao ndani ya CHADEMA. Na...
  15. Roving Journalist

    Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga...
  16. T

    Kama Jamhuri ilimuonea huruma Mbowe na ugaidi basi Mdee na wenzake wataachwa

    Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi. Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama...
  17. JanguKamaJangu

    Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

    Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo. Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
  18. Lady Whistledown

    Jamhuri ya Afrika ya Kati yawa nchi ya Kwanza Afrika kuhalalisha matumizi ya Bitcoin kama sarafu rasmi

    Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge wiki iliyopita na Rais anaunga mkono muswada huo akidai utaboresha hali ya raia wake Jamhuri ya...
  19. Unique Flower

    Rais ya wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    Rasi Samia Suluhu Hassan
  20. SULEIMAN ABEID

    Mawaziri kuwekwa kitimoto na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini...
Back
Top Bottom