#1 . Mpende utakavyo mpenda lakini usimwamini kupitiliza .
#2. Kama unataka kumpoteza harakat , mjali sanaaa alaf mpe kila anachokitaka.
#3. "Wee date na wote wawili uone yup yupo serious " hivo ndo gals wanaambiana.
#4. Kama mwanaume Mungu, Wana, maokoto na dua za Mama yako ndo zitakusave ...