jamii forum

JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2006. The online network is notable as the most popular social media website in Tanzania, according to AllAfrica. The website emphasizes its use of user-generated content to avoid penalties faced by traditional media for reporting issues in Tanzania. According to Washington Post, recent Tanzanian bills have caused significant worry over potential media crackdown in Tanzania, though its founders faced several law charges over the years.

JamiiForums was officially launched in March 2006 with the name JamboForums, and comprised several online subforums. In May 2008 they changed their name to JamiiForums due to copyright issues. In March 2016, Jamii Media filed a lawsuit against the federal Tanzanian police force, alleging that the police force's power to demand personal information of individuals suspected of crimes was unconstitutional. The case will be processed through the High Court of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. mkolaj

    Jukwaa la Jamii forum doctor au Jf Afya limepotelea wapi?

    Ndugu wanaJf ni simu yangu tu au na ninyi kwenye simu zenu Jukwaa la Afya kutoonekana! Tangu Jana nalitafuta silipati. Kuna shida gani! Naomba mwenye kujua tatizo atuambie....
  2. No Escape

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi. Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
  3. Kikwava

    Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

    Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo. 1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk 2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye...
  4. Mributz

    SI KWELI Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Bonny Mwaitege afariki dunia katika ajali ya barabarani

    Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania Bonny Mwaitege amefariki dunia katika ajali ya barabarani. Bony alifariki katika ajali hiyo baada ya kutoka katika tamasha. Ni mmoja wa mwanamuziki wa nyimbo za injili anayejulikana Afrika Mashariki. Atakumbukwa zaidi kwa nyimbo zake kama vile...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni Sawa umeenda kupima DNA Na ukakuta mtoto sio wako utafanyaje?

    Kheri Kwenu mabibi na mabwana. Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa. Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako. Yaani utunze mimba,gharama za kujifungua, malezi ya mtoto,usomeshe Hadi chuo kikuu mtoto apate kazi...
  6. HONEST HATIBU

    Don't Carry the Burden Alone

    Don't Carry the Burden Alone 1. Don't keep negative feelings bottled up inside without sharing them with someone. 2. Seek help when you feel overwhelmed by problems. 3. Talk to friends or family when facing significant challenges. Reality is... 1. Keeping everything inside can negatively...
  7. Arch Barrel

    Wapi walipo hawa Legendary wa Jamii Forums

    Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF? Walipatwa na umauti? Walibadirisha ID? Wako wapi? GUDume Zero Iq Joseverest Na wengine wengine wakongwe wa JF
  8. N

    SoC04 Mfumo Mbovu wa Elimu: Kikwazo Kikuu kwa Maendeleo ya Tanzania

    Mfumo Mbovu wa Elimu: Kikwazo Kikuu kwa Maendeleo ya Tanzania Elimu ndio kitovu cha maendeleo katika Nyanja zote za Maisha katika nchi na Maisha binafsi ya mtu, kwa bahati mbaya mfumo ambao husimamia ubora wa elimu unasahau kuwa hatuwezi kuwa na kizazi chenye udadisi, ubunifu na uongozi bora...
  9. Emaswai

    SoC04 Tanzania tuitakayo - mabadiliko katika sekta ya elimu

    TANZANIA TUITATAKAYO MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU. MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya msingi, minne (4) sekondari ya awali na miwili (2) sekondari ya juu ni mingi kulinganishwa na...
  10. Raziel

    SoC04 Mfumo wa elimu ya juu uhusike kutengeneza wajasiriamali nchini

    Tanzania kama zilivyo nchi nyingi zinazoendelea zinakabiliwa na kiwango kikubwa cha umasikini ambao unapelekea huduma za kijamii kama elimu, afya, barabara, umeme na mambo mengine kupatikana kwa hali isiyoridhisha na hali hii inatokana na serikali kuachiwa mzigo mzima wa kutatua changamoto hizi...
  11. KakaKiiza

    Katika majumuisho ya Habari Mh, Rais Samia amtaja Max na Jamii Forum

    Tukiwa hapa Mlimani City Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Jamii forum Maxence Melo na Mtandao mzima wa Jamii forum katka majumuisho yake kuhusu uandishi wa mitandaoni akiipa kongole Jamii Forum katka usimamizi mzur wa habar za mitandao lakini akaongeza kuwa makini...
  12. Sauti Moja Festival

    Salam za Eid al-Adha kwa wana jamii forum kutoka Sauti Moja Festival!

    Tunawapongeza kwa sikukuu hii ya kipekee, inayotukumbusha umuhimu wa kujitolea, imani, na mshikamano. Tunawatakia baraka nyingi, afya njema, na amani tele katika kipindi hiki cha Eid. Tunatumaini mnafurahia sherehe hizi pamoja na familia na marafiki, huku mkikumbuka umuhimu wa kusaidiana na kuwa...
  13. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo na tuitarajiayo

    Tanzania Tuitakayo: Ajira na Tenda kwa Miaka 25 Ijayo Utangulizi Katika kijiji kidogo cha Mkwajuni, kulikuwa na kijana mwenye ndoto kubwa, Juma. Alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alipambana kupata ajira katika soko la ajira ambalo lilikuwa na ushindani mkubwa. Hali hii ilimfanya Juma...
  14. Crocodiletooth

    Jamii forum, maoni dira ya Taifa, 2025-2050.

    -Maoni yangu binafsi ni umri wa kustaafu uwe miaka 50, kupisha chipukizi. -Iwe mwiko mtu kushika nafasi za kiuongozi zaidi ya moja. -Baada mtu kustaafu awe anapatiwa eneo la ekari 2, kama sehemu za benefit zake. -Uchumi wa viwanda upewe uzito -Utaalamu wa maswala ya electronic, ujuzi wake kwa...
  15. F

    SoC04 Matumizi ya Tuzo ya Milioni 50 kutoka Jamii forums kwa Maendeleo Binafsi na ya Nchi kwa Miaka 25 Ijayo

    Utangulizi Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
  16. mussason

    SoC04 Kuelezea Tanzania ya Kesho: Maono ya Kibunifu kwa Mustakabali Endelevu

    Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii na vipaji vingi. Hata hivyo, ili kufikia uwezo wake kamili na kufanikiwa katika kuleta maendeleo endelevu, ni muhimu kuwekeza katika maono ya kibunifu yanayolenga kuboresha maisha ya Watanzania...
  17. HONEST HATIBU

    SoC04 Futa machozi tuondoe gizani

    Tanzania tuitakayo ni nchi yenye umeme endelevu na imara, ambayo inawezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi wake. Kwa kuzingatia hili, serikali itaanzisha mpango wa kuimarisha miundombinu ya umeme nchini kote, ikiwa ni pamoja na kuboresha mitambo ya kuzalisha umeme, kupanua mtandao...
  18. Fundi manyumba

    Maisha 2070: Una nini cha kuacha kama kumbu kumbu hapa JamiiForums

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat". Ni tumaini langu wote ni wazima. Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho. Kuna vitu vingi vinatokea katika maisha tunavichukulia kawaida but Ushawahi kujiuliza...
  19. nzalendo

    Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

    Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki. Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo).. Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana. Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya...
  20. nzalendo

    Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

    Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
Back
Top Bottom