JamiiForums is a Tanzania-based social networking website in East Africa founded in 2006. The online network is notable as the most popular social media website in Tanzania, according to AllAfrica. The website emphasizes its use of user-generated content to avoid penalties faced by traditional media for reporting issues in Tanzania. According to Washington Post, recent Tanzanian bills have caused significant worry over potential media crackdown in Tanzania, though its founders faced several law charges over the years.
JamiiForums was officially launched in March 2006 with the name JamboForums, and comprised several online subforums. In May 2008 they changed their name to JamiiForums due to copyright issues. In March 2016, Jamii Media filed a lawsuit against the federal Tanzanian police force, alleging that the police force's power to demand personal information of individuals suspected of crimes was unconstitutional. The case will be processed through the High Court of Tanzania.
TAALUMA YANGU MASHAKANI.
Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha lakini imekuwa tofauti hadi sas wasomi kuzalaulika kwa jamii na kuonekana kama wajinga maana wasomi...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wana JF wenzangu, leo ningependa niandike manufaa, au faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JF. Afu kama kuna mungine au wengine walionufaika na mtandao huu, basi walete...
Bujibuji Simba Nyamaume Mwalafyale wewe ni mwenye kiti wa mtaa, unapoondoka bila taarifa kero za mtaa wetu tuzipeleke kwa nani.
Nyamaume ulipita kwa kura zote japo kulikua na figisu lakini ushindi wako ulikua bayana mpaka wale waliokata pumzi ilibidi wakuapishe.
Kama uko salama huko ukoko...
Jamani tuambiananeni Ukweli, Mimi Sasa ni miaka 12 toka nimekuja jamii forum, Ila hakuna binadamu yoyote anayejua Mimi ni nani, najua rafiki, staff mate na ndugu wamesoma mada zangu nyingi Ila hakuna aneyejua mimi ni nani.
Hivi is jamii forum the most secured social media platform ever...
Jina langu naitwa Elikana Nikodemo Elikana, Kiukweli nafarijika sana napokuwa humu japo nilikuwa bado sijajiunga rasmi ila sasa nashukuru tupo pamoja...!! Ahsanteni sanaaaa
Pia binafsi ningependa kuomba ushauri..!!
Mimi ni kijana ninayeamini sana kupitia sanaa itanifikisha katika malengo na...
Salaam wakuu,
Jamii Forum ina mambo mengi mazuri kuanzia mijadala ya siasa, makazi na ujenzi, hoja na habari, mahusiano, biashara nk nk.
Niweke wazi nimekua addicted na JF muda mwingi nipo JF hata wakati wa kutekeleza majukumu yangu najikuta nimechepuka niko JF, mke wangu ananilaumu muda wote...
Habaro wanajamiiForums.
Nina bachelor ya sociology natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar ili niweze kulea watoto
Tafadhali Kama una connection, nipo Mbeya nisaidie
Habari za humu wana jamii forum wote.
Hii mada imemili sana katika suala la maamuzi ya Wanawake hasa katika mambo kadha wa kadha ila hasa katika mahusiano.
Mada hii naiweka katika mtindo wa swali na hii ni kutokana na watu wengi huwa wanawasema Wanawake ya kuwa wanatumia sana hisia badala ya...
Kwa jinsi alivyozungumza Tulia (NS) jana wakati wa kuapishwa viongozi/Mawaziri wapya ni dhahiri shahiri kuwa aliandaliwa makusudi kuongea vile baada ya kuhakikishiwa nafasi ya "Mzee wa nina file milembe mimi"'.
Ili halina shaka kabisa na ni wazi, ndio maana badala ya Tulia kuzungumzia...
WATU wa Mungu jf niwasalimie kila mtu kwa imani yake
Bila jali mitazamo yetu tofauti ila ni imani Yangu sie ni Ndugu tu,
Usiku wa kuamkia leo nimeguswa na yule ajuaye nini makusudi yake kunifanya niwe hai leo, na nini kusudio lake kunileta duniani ,nami ni vyema share nanyi baraka hizi
Ni...
Habari zenu JF expert members.
Nahitaji kujua kutangaza na Jamii Forums gharama zake (kama ni Admin/mod inbox Kwa maelezo zaidi) na wewe mwingine share ujuzi wako kuhusu kutangaza na Jamii Forums.
Asante
How can Africa’s Young Entrepreneurs and Innovators make the AfCFTA’Magic Happen?
The African Continental Free Trade Area Agreements (AfCFTA) It is a plan signed On March 21, African Nations signed the African Free Trade Agreement (AfCFTA) agreement in Kigali Rwanda. The African Union says the...
MAENDELEO KATIKA TAIFA LA TANZANIA
Katika mtazamo wa kawaida, maendeleo ni hali ya kuwa na mabadiliko chanya kukoka hatua moja hadi nyingine katika nyanja za kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Hali ya maendeleo katika taifa hupimwa kwa kuangalia mambo mbalimbali kama vile uwepo wa...
Unajua nini kuna mitandao ya kijamii ukiifuatilia utacheka sana wakati mwingine inasikitisha kwasababu waandishi hawana tena uweledi yaani hawaandiki tena uhalisia wa maisha wanaandika kile bosi anataka hii ni hatari kwani kwani waandishi ndo watu pekee wanao weza kubadili uongo uonekane kweli...
Kwanza kabisa niseme asante kwa kuchukua muda wako kusoma thread hii ukimaliza unaweza weka maoni yako na ku vote ili niweze kushinda.
Afya yako ya leo hii ndio chanzo kikubwa cha wewe kufikia malengo yako ,Sayansi mara nyingi haidanganyi kivipi? kipindi kizuri na kipindi kibaya sana kwa...
Watu maarufu waliowahi kula udongo.
Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko kimoja.
Muigizaji huyo, aliyewahi kucheza filamu mashuhuri ya Descendants akishirikiana na George...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.