jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Jana nilivyolia mbele ya kamera sikutegemea

    Kweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole. Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile ni timu ambayo inajinasibu kufika Mbali CCL Kweli? Simba ambayo sasa haina sauti kwa yanga yani sisi...
  2. Sierra Leone, Rais asema Maandamano ya Jana dhidi ya Serikali ni Ugaidi

    Rais Julius Maada Bio ametaja maandamano dhidi ya Serikali yaliyotokea Jana, Agosti 11 nchini humo kuwa ni vitendo vya kigaidi vinavyochochewa na Raia wanaoishi nje ya Nchi Takriban watu 130 wametiwa mbaroni katika maandamano hayo ya kumshinikiza Rais huyo kujiuzulu , kutokana na kupanda kwa...
  3. Kwa kikao cha Copenhagen, vita ya Ukraine na Urusi si ya kuisha leo au kesho

    Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana. Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake...
  4. Ufuatao ni 'Mjumuisho' wangu wa 'Kiuchambuzi' baada ya kuiona Simba SC jana katika 'Simba Day' yao

    Heko kwa Msemaji Ahmed Ally amejitahidi, ila kwa Siku zijazo awe na back up ya Mtu mwingine Maarufu, Mchangamshaji na mwenye Sauti ya Juu ya Kimatukio. Golikipa Beno David Kakolanya ameimarika na Kukomaa vyema ila ajitahidi sana kufanyia Kazi 'Footwork' yake ambayo si nzuri na hata Mwenzake...
  5. B

    SoC02 Leo ni kesho ya jana, kesho ni majuto ya leo

    Umeshawahi kukaa chini na kutafakari ni mara ngapi umejikosea kwa kujidanganya kwa kauli “Nitafanya kesho" ! Bila shaka unastahili kujipa adhabu kali ya kutega sikio kwa makini kabisa na kunisikiliza kwa utulivu uliopitiliza maji ya mtungini. “Nitafanya kesho" ni moja kati ya makosa makubwa sana...
  6. Siku ya Mwananchi: Kumbe jana walifungulia geti wazi

    Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure Hii ni AIBUUUUU
  7. N

    Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

    Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria
  8. R

    Baada ya Kelele , jana NACTVET/ Wizara ya Afya wametoa Ratiba ya mitihani ya vijana wa Afya

    Shame upon you! Mpaka watu walalamike ndio mzinduke. Hamstahili kuwa ofisini nyote mnaohusika na wajibu huu wa kutoa ratiba. Shame upon you!
  9. NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  10. Mtandao wa Tigo kinaanza kuisha kifurushi cha leo badala ya cha jana.

    Mm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo. Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline. Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa...
  11. Siri imefichuka kumbe Transit Camp waliombwa wafungwe Goli nyingi jana ili 'Kushawishi' Mashabiki wajae 'Watu Day' tarehe 6 August, 2022!!!

    Mimi nilidhani Jezi Mbovu na Kituko FC hii tabia yenu ya Kipuuzi na Kishamba mmeiacha kumbe bado mpo nayo? Na bahati karibia 75% ya Wachezaji wa Transit Camp ambao ni Wajeda ( Wanajeshi ) ni Wanangu ( Marafiki ) hivyo wamenipa Ukweli wote. Kwanza 90% ya Wachezaji wa Kikosi cha Kwanza cha...
  12. Airtel mtandao unasumbua tangu Julai 19, shida ni nini?

    Yaani network inakatika nusu saa Dar mjini hapa? Hakuna kupiga simu, wala sms wala internet. Na leo mmeanza tena, simu haziendi, shida nini?!!!
  13. Natamani Mdahalo wa Wagombea Wenza wa Urais Kenya ungetokea Kwa Tanzania mwaka 2015 au 2025 ili tujue Ugoigoi wa Watu

    Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa. 1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais) 2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
  14. Simba acheni uongo, jana mmecheza na kikosi cha madereva taxi wa timu ya Ismail, timu kuu ilicheza ligi kuu

    Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki? Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
  15. K

    Ndoto niliyoota ni reflection ya utumbuaji wa Bosi wa Bandari na Mkurugenzi wa Jiji

    Habari za mchana wadau, Basi bhana, jana nikiwa ndani ya treni kama kawaida nikielekea home. Basi bhana ghafla nikaskia taarifa ya habari kutoka Idhaa ya Kiswahili sauti ya Japan, nikaskia mtangazaji akisema "Dar-es Salaam, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi ya bosi wa...
  16. EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazo anza kutumika Tarehe 6 Julai 2022 saa 6:01 usiku. Aidha, Katika kukabiliana na ongezeko la bei za mafuta hapa nchini, Serikali imetoa ruzuku nyingine ya Shilingi...
  17. Rais Samia kwanini nawe nakuomba usiyaamini Matokeo ya Jana ya Kidato cha Sita ya nchi nzima?

    1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko. 2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila...
  18. K

    Nilivyokutana na Msukuma kwenye msitu wa Malangamilo

    NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God aniamshe mapema sana kwani ratiba yangu Ilikuwa tight... Kweli bwana Mungu yupo wazeee, na anajibu...
  19. N

    Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

    Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao Inasemekana jamaa kafariki dunia Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
  20. Mrejesho kuhusu mwanamke muuza bar South Africa 🇿🇦

    Salamu wakuu.. Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer 🍺 kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae. Wiki iliyopita alienda kwao KZN (Durban) ila mimi naishi Jozi. Sasa bana kipindi napiga mambo yangu na mizuka imepanda ya akili za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…