jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

    Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza. Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani. Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa...
  2. L

    Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China yafunguliwa jana, ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani duniani

    Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana.. Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni jangwa la pili kwa ukubwa duniani linalotembea, ikianzia mji wa Hotan upande wa magharibi hadi wilaya...
  3. GENTAMYCINE

    Jana nilijua SImba SC tunaenda labda Kutambulishwa Kocha Mkuu mpya au Mchezaji kumbe ni Kuonyesha tu 'Beacons' na 'Ramani' za Bunju

    Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile. Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka...
  4. GENTAMYCINE

    Hivi yule Sabaya tuliyeambiwa majuzi kuwa anaumwa sana anatakiwa kufanyiwa Oparesheni ndiyo wa jana aliyekuwa na Furaha vile?

    Endeleeni tu kutufanya Mangumbaru ( Wajinga ) na Wapumbavu ( Mapopoma ) kwa kila mara kutufanyia Maigizo yenu wakati tunajua kuwa mnataka kumuachia ila kwakuwa mmeshajua kuwa ana Hoja nzito, mlimuonea hivyo sasa mnatafuta Mazingira ya Kumuachia ili yaishe na msionekane kama mlikuwa mnamkomoa tu...
  5. 3ZOV

    Karibia Wagner Mercenaries 250-300 wafa jana

    Jeshi la ukraine jana limefanya shambulio baya sana kwenye mji wa luhansk na kuua wagner mercenaries 250-300 Huku akibakia mmoja tu ambae amechukua video hii huku akilia video yao kabla hawajakula kichapo kizito
  6. N

    FUNUNU: CAF kujibiwa leo mchana na RAIS mtarajiwa ,walimtibua sana jana

    Jana wambeya na wasiotakia mema klabu bingwa tarajiwa ya Afrika yaani Yanga sc walifurahia sana taarifa kwamba CAf wamepost huko twitter wakisema team hiyo bora kabisa kwa viwango hapa afrika mashariki itaanzia round ya awali yaani preliminary round Lawama zote zikaenda kwa msemaji msomi au...
  7. W

    Madhira yaliyonikuta BMax Lounge

    Habali wakuu, Wale wazee wakuponda kila kitu muipotezee tuu hii threads jana bana nikaamua kwenda bmax lounge nikiwa na staff wenzangu watano wa ofisini Sasa bana maisha haya sometimes tukiwa mitungi kupitiliza shit happen tuna play around. Kuna binti mmoja niliwahi kuruka nae one night stand...
  8. Suzy Elias

    Petrol imeadimika mno tokea jana

    Vilio kwa ndugu na jamaa hasa bajaj,bodaboda na gari nyingi zinazotumia mafuta ya petrol ni kikubwa kuanzia jana. Mfano eneo la kuanzia Moshi mjini hadi Arusha kuanzia jana ni vituo vichache mno vilivyokuwa na mafuta ya petrol! Vilevile muda huu kwa mujibu wa mimi mwenyewe nikiwa hapa mji wa...
  9. Maji Chai

    Kwa yeyote mwenye kibarua mimi nipo tayari kufanya naombeni msaada wenu

    Maisha ni fumbo,fumbo ambalo linahitaji kufumbuliwa, wachache wameweza kulifumbua fumbo hili sasahivi wanakula kuku kwa mrija kama wengine wasemavvyo. Mimi ni miungoni mwa wale ambao tumeshindwa kulifumbua fumbo la maisha na kuishia kusindikiza wengine kama dunia hii iliyojaa shida. Kiukweli...
  10. Dr Akili

    Mwaka jana Serikali ilitangaza kuanza kununua mafuta moja kwa moja toka kwa wazalishaji. Mpango huu umefia wapi na kwanini?

    Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia Shirika la Taifa la Mafuta (TPDC),ili kuondokana na changamoto za gharama kubwa za wanunuzi wa kati...
  11. kyagata

    Jana nimedundwa kisa mke wa mtu

    Wakuu hapa niko hospital Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa. Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was...
  12. Komeo Lachuma

    Swala ya Ijumaa ya jana Ilikuwa ya Kipekee Kabisa na Yenye Jambo kubwa Katika Mahusiano. Imenishangaza sana Tuna Mengi Hatujui.

    Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa. Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana...
  13. GENTAMYCINE

    Azam FC huu Mpira mlioucheza na Simba SC jana Chamazi mngeucheza katika Mechi zenu zote mmgekuwa "mnademadema' hivyo katika Ligi?

    Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika. Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda inacheza kwa Nguvu na Kukamia pale tu wakicheza na Simba SC ila wakicheza na Yanga SC wanakuwa Laini...
  14. DR HAYA LAND

    Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

    Katika harakati zangu za kuuza Ubuyu GHAFLA nikaomba namba ya Dada mmoja hivi she has 24 years na Ni single Mother. Mtoto wake amemtupia Mama yake huku yeye akipanga Chumba Maeneo ya Gongo la Mboto. To be honest Ilikuwa Ni usiku nilivyomuona I was very interested with her Na ndipo nikaomba...
  15. F

    Baada ya uamuzi wa jana CHADEMA na Halima wana mtihani mkubwa

    Hii sakata ya Halima na wenzake inatoa fursa kwa Chadema kujisahihisha. Kuna uwezekano mkubwa kuwa Halima aliamua kufanya alichofanya baada ya kuhisi kuwa kuna orodha mbadala ilitayarishwa tofauti na ile ambayo yeye na wenzake waliona kuwa ni ya haki. Wasiwasi huo usingekuwa bure kwa sababu...
  16. Mgimilamaganga

    App ya JF ina-crash tu tangu jana

    Habari za muda huu wanajukwaa,tangu jana najaribu kufungua app ya jf lakini naambiwa ipo down.Shida nini?
  17. Greatest Of All Time

    Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  18. JanguKamaJangu

    UEFA CHAMPIONS LEAGUE: Real Madrid yaingia fainali Uefa, Man City yapigika 3-1

    Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5. Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata...
  19. B

    Nchini wapo Watu wananunua vifurushi na wanatambua kupanda Kwa Bei, wapo wananunuliwa vifurushi lazima tuwepe Bei ya Jana na Leo waone tofauti.

    Hapa Duniani usiishi ukiamini Kila MTU anafahamu kupanda na kushuka Kwa Bei ya bidhaa, wapo Watu wachache wamekuzwa Kwenye maisha ambayo Kila gharama anayotumia analipiwa na serikali. . Lakini hii haimaanishi kwamba huyu MTU ana akili Sana, anafahamu sana na anastahili kulipiwa Kila jambo...
  20. Niache Nteseke

    Kuna taarifa kuwa mwezi umeonekana Tandahimba jana tarehe 01/05/2022

    Wasalaam, Natumai mnaendelea salama wote, kuna taarifa inaenea sana kuwa mwezi umronekana jana maeneo ya Tandahimba na masheikh wa Bakwata, wakawapigia simu Bakwata makao makuu lakini wakazipuuza hizo taarifa na kuwatangazia raia kuwa mwezi haukuandama siku ya jana hivyo leo watu waendelee...
Back
Top Bottom