janeth ndimbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Janeth Ndimbo afikishwa Mahakamani kwa mashtaka 8 ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Mkazi wa Sinza Mori, Janeth Ndimbo (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka manane ya usafirishaji haramu wa binadamu. Amefikishwa mahakamani hapo leo Agosti 4, 2026 na kusomewa kesi ya uhujumu uchumi, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya. Mshtakiwa...
Back
Top Bottom