januari makamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Wananchi wa Bumbuli: Hakuna wa kumtoa Januari Makamba labda aache mwenyewe

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga, linaloongozwa na Mbunge Januari Makamba, wameeleza shukrani zao kwa Serikali kwa kuwafikishia miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia mbunge wao, ikiwemo huduma za umeme, maji, na ujenzi wa zahanati. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao...
  2. S

    Kurudishwa kwa January Makamba ni dalili tosha kwamba Rais Samia ameanza kuliogopa kundi linalompinga ndani ya CCM!

    Labda uwe mtu poyoyo sana wa kufikiri ndio hutaelewa hii move ya Raisi Samia ya kuanza kusema anawarudisha kina January Makamba kwa mama. Hii sio bure, na kama January anafikiri kwamba anachofanyiwa na Raisi Samia ni hisani, basi yeye ni one of the most naive, pathetic and disgusting politicians...
  3. Pre GE2025 Januari Makamba ampa maneno mazito Rais Samia, aapa kwenda nayo Kaburini

    Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini na kumpa nafasi ya kuhudumu katika baraza la mawaziri, akisema kuwa ni heshima kubwa isiyofutika katika maisha yake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  4. Pre GE2025 Rais Samia: Nilimpiga kikofi January leo namrudisha kwa mama

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza mbele ya wananchi wa Lushoto, Tanga leo Februari 24, 2025, amesema alimpiga kofi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, lakini akamfichia chakula kama ulivyo uhusiano wa mama na mwana. "Lakini mwisho kabisa nataka nimuite mwanangu Januari (Januari Makamba) hapa...
  5. J

    January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa kupeperusha bendera ya CCM Kwenye uchaguzi wa Rais, asema hii itasaidia kampeni mapema!

    Mbunge wa Bumbuli Mh January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea uRais Makamba amesema uteuzi huu utasaidia kuanza mipango ya Kampeni mapema Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 Pongezi amezitoa...
  6. S

    Januari Makamba yuko wapi?

    Yuko wapi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba tangu atumbuliwe uwaziri hajaonekana hadharani kuanzia jimboni hayupo wala bungeni hayupo Je Januari Makamba yuko wapi?
  7. January Makamba nje ya siasa ana taaluma gani?

    1. Mgombea Urais namba 5 mwaka 2015 na Waziri Mwandalizi (Mstaafu) Mambo ya Nje, Makamba. Ana taaluma gani mbali na Ubunge alio nao? 2. Ikitokea 2025 Chama kisimpitishe kugombea, itakuaje? Atatumia taaluma ipi kuongeza kipato?
  8. A

    January na Oddo Ummy karibuni Nyumbani Tanga

    Haya Wana Tanga, karibuni kwenye mapokezi ya kishindo ya wanetu Oddo Ummy na January; MAHALI: Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. TAREHE: 19 Agosti 2024, MUDA: Saa 8 Mchana. Chakula, Vinywaji na burudani vitakuwepo. NB: Msafara utaanzia Maweni mpaka Mjini (Mkwakwani Stadium) - Nyumbani ni nyumbani...
  9. Pre GE2025 January Makamba Mbunge wa Bumbuli (CCM), Bumbuli wanasema hivi

    Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba, 1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha ulivyokuwa uwanja ule ingekusaidi. Wanawake Bumbuli uliwadanganya. Wao walikaa kimya wakijua ungetenda...
  10. R

    Pre GE2025 Nape, Januari na Kinana ndio wale waliotajwa kutukana mitandaoni? Wengine ni wakina nani?

    Nimekumbuka kuna siku tuliambiwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama mitandaoni. Wakati ule upepo wa matusi ulivuma sana kwa muda mfupi kisha ukazima Naamini mfumo ulifanyia kazi maelekezo ya mwenye nchi kuona tatizo lipo wapi. Je haiwezekani ripoti imetoka na mapendekezo ya ripoti...
  11. Kuna anayejua sababu ya kutenguliwa kwa hawa viongozi? Karibu utujuze

    Nadhani kuna jambo halipo sawa, kuna baadhi ya watu wanakonekti doti ya TCRA kutoa pongezi kwa nape ila nadhani ni beyond to the point. Nadhani kimbelembele cha Ridhwani kuhangaika na mambo ya kimataifa wakati hajaweza kuleta impact yeyote kwa Tanzania especially kipindi kile anahangaika na...
  12. Pre GE2025 Kumekucha CCM: Nape na Makamba 'waula', walitumbuliwa ili kutambuliwa

    Haya ndiyo mambo ya kutumbuliwa ili kutambuliwa. Mawaziri wa zamani Nape Nnauye na January Makamba wamejumuishwa kwenye Kikosi Maalum cha CCM kinachoandaa Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030. Kikosi hicho kinaongozwa na komredi Stephen Wassira. Nyaraka za kichama zinaonesha kuwa Nape na...
  13. Maoni yangu kuhusu Makonda, Nape na January Makamba

    Mimi katika kazi zangu hata ya kizibua vyoo, Makonda ana mapungufu yake tena sana ila ni kiongozi safi sana na mimi natabiri atakuja kuwa mkubwa sana. Nape hata kama ningekuwa Rais angenisaidia kufuta vumbi. Fanya chochote nipo upande wa Jemedari.
  14. R

    Mzee Yusuph Makamba: Nampongeza Rais Samia kwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, asema isiwe mshangao wakirudishwa

    Salaam Shalom!! Mzee wetu ameibuka na Kutoa Pongezi kedekede Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan Kwa uamuzi mzuri aliofanya kuwabadili baadhi ya mawaziri, mtoto wake akiwemo. Amemfananisha Rais na Coach jinsi anavyobadili kikosi, Nia ni ushindi. Ameenda mbali na kuwapongeza waliotumbuliwa akidai...
  15. S

    Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu. Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini...
  16. S

    Watanzania mjifunze, ni suala la muda tu baadhi ya hawa waliotemwa uwaziri watarudishwa

    Watanzania sijui ni lini mtajifunza na kuelewa hizi sanaa za CCM. Acheni kushangilia Nape na wenzake kutemwa uwaziri kwani baada ya muda wanaweza tena kurudishwa kwenye Baraza la Mawaziri. Mimi naona wameshaongea na kukubaliana wafanye hiki na kile halafu baada ya muda(baada ya uchaguzi)...
  17. Je, tutegemee Ridhiwani kuvaa viatu vya baba yake au bado hana ukomavu wa kisiasa?

    Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January Makamba pamoja na Ndg Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano na teknolojia ya Habari. Sasa wengi...
  18. S

    VIDEO: Huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wa January

    Huenda huu ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho wa safari ya kisiasa ya Mbunge na mwanasiasa machachari toka Chama tawala nchini Tanzania Bw January Yusuph Makamba. Pia soma > Kuelekea 2025 - Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu
  19. Tetesi: Januari Makamba kugombea Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika

    Kutoka kona za ikulu asubuhi ya leo ni kuwa Mheshimiwa January Makamba atangaza kugombea uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika (AU) kutoka nje ya Umoja wa Afrika Mashariki na SADC baada ya mgombea wa swali Raila Odinga kuamua kujiunga na Serikali ya Wiliam Ruto kama alivyotangaza wiki iliyopita...
  20. R

    Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

    Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni? Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…