Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli.
Unadhani ni wizara gani imepwaya anayopewa Makamba? Je, alipopewa Wizara anaweza kupewa nafasi ndani ya...
Hatumtaki Januali Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.
imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike.
Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo...
January Makamba mbunge wa jimbo la Bumbuli na waziri msitaafu uliyetimuliwa kazi na Marais wawili tofauti, kwenye awamu mbili tofauti sasa umeyatimba baada ya kujulikana hadharani kwamba ulipigwa makofi na Rais Samia!.
Iko wazi kuwa mtu hapigwi makofi kama hajakosea chochote, kwa hiyo ni wazi...
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza mbele ya wananchi wa Lushoto, Tanga leo Februari 24, 2025, amesema alimpiga kofi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, lakini akamfichia chakula kama ulivyo uhusiano wa mama na mwana.
"Lakini mwisho kabisa nataka nimuite mwanangu Januari (Januari Makamba) hapa...
Wanabodi
Mimi ni story teller, from time to time, nitakuwa nafanya short sessions za News analysis ambazo zitaitwa "PPR News Analysis".
Nichukue fursa hii kuelimisha kidogo hii news analysis ni nini.
News analysis ni uchambuzi wa habari, kwa kuwaita manguli kuichambua habari
fulani na ina...
Wakuu,
Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa.
Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚.
Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mbunge wa Chato, mbunge wa Kilolo, mbunge wa Kigoma Mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea.
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
“Sisi CCM...
Salaam Wakuu,
Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo
Soma hapa:
- Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama
Kupitia ukurasa wake wa X...
Wananchi wa Bumbuli mkoani Tanga wamechukizwa na tabia ya mbunge wao January Makamba kuwapa ma draft kwa ajili yakuchezea wakati barabara ni mbivu na huduma zingine nizashida sehemu hiyo.
Habari kutoka ndani ya CCM ni kuwa Familia ya Makamba imemalizana na Rais Samia.
Makubaliano ni kuwa Mama Samia hakutaka Makamba arejeshewe Uwaziri kama walivyotaka.
Baada ya Maongezi ya muda mrefu Mheshimiwa Rais kwa kuiheshimu familia hiyo, ameahidi kufanya mpango kwa kufuata taratibu za...
Ndugu zangu Watanzania,
Nitawaleteeni Matukio Makubwa yaliyotikisa Nchi yetu na kuteka hisia za Watu wengi sana hapa Nchini. Nitakuwa nawaleteeni awamu kwa awamu.Leo naaanza na haya yafuatayo.
Tukio la Kwanza lilikuwa ni lile la kufariki kwa Waziri Mkuu Mstaafu wa jamuhuri ya muungano wa...
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba ameshiriki kupiga kura ya kuchagua Viongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji katika kituo cha Kwevizelu Kata ya Mahezangulu Mkoani Tanga leo Novemba 27,2024.
PIA SOMA
- LGE2024 - January Makamba: CCM tunajivunia na sera...
Hatimaye alikuwa kimya sana tangu ameteguliwa lakini sasa January Makamba ameibuka kwenye kampeni za kuwanadi wagombea wa chama chake CCM
=====================
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, January Makamba amesema chama...
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha...
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.
Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?
Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali...
January Makamba akiwa na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake kwenye Ibada ya Misa ndani ya Kanisa Katoliki.
Ibada hiyo ilikuwa ni ya shukrani kwa mama yake kutimiza umri wa miaka 70. Mama yake January ni mkatoliki haswaa na ameolewa kwa miaka 50 na Mzee Makamba ambaye ni Muislam
Yu wapi Nape na January?!
Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.
Kiko wapi hatimaye!
Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo.
Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.