Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kwa sasa bado hana uhakika kama atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2020.
Makamba ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema atafanya uamuzi Desemba mwaka huu atakapokuwa mapumzikoni.
“Sina uhakika juu ya hili...
Rais Magufuli kwenye sababu za kumuondoa January Makamba bora jikalie zako kimya.
Nimekusikia Rais leo ukijaribu kuelezea sababu za kumuondoa Uwaziri Bwana January Makamba. Kwa kweli hukuwa umejiandaa na maelezo ya kuridhisha.
Rais, kwenye suala la mifuko ya plastiki tunajua ukweli kwamba...
Heshima kwenu wakuu,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station.
Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
Kwa wale waliyofuatilia siku January Makamba alipokuwa akitangaza nia alisema Tanzania hainufaiki na gas na haitanufaika na gas ndani ya miaka 20 ijayo! Katika hotuba yake aliianisha vyanzo vyote vya mapato isipokuwa gas na kusema kwa mikataba hii Tanzania haitanufaika na gas kwa miaka 10...
MAHOJIANO YA JANUARY MAKAMBA NA JARIDA LA UMOJA
1. Umekuwa msaidizi wa karibu wa Rais Jakaya Kikwete tangu akiwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa hadi hivi sasa, ni mambo gani hasa umejifunza kutoka kwake?
Nimejifunza mambo mengi sana kiasi kwamba ni si rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.