Rubani ambaye pia ni raia wa Oman aliyetaka kuiangusha Ndege ya Flydubai iliyobeba abiria wengi wao wakiwa raia wa Israel ameelezwa kuwa ni mtu wa dini sana (religious extremist). Kwamba anaswali sana na mara kwa mara kila siku na hataki kushikana mikono na wanawake ikiwa ni ishara ya kuwa ni...