jasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kocha Himdi Maloud anaweza kuwa jasusi wa soka aliyekuja kuimaliza Yanga, afukuzwe mapema

    Habari wakuu Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
  2. Jasusi damu zamwagika

    Robert akiwa kwenye gari lake alianza kulia, akashindwa hata kuendesha akaamua kusimama kando ya Barabara akiwa anabubujikwa na machozi. Machozi yakawa yanamtiririka Robert huku akizidi kulia kwa uchungu mkubwa, jua lilikua likiwaka huku Watu wakiendelea na shughuli zao lakini kwa Robert...
  3. OVERTHINKING: Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy anaweza kuwa ni jasusi wa Russia?

    OUR MAN IN ITALY: Romano Prodi, waziri mkuu wa zamani wa Italy aliwahi kuhusishwa na tuhuma za kuwa kwenye payroll ya Idara za usalama za Russia/USSR. PICHA HAPO JUU: Putin akiwa na Prodi. KWA UFUPI SANA. ====== The Mitrokhin Commission was an Italian parliamentary commission set up in 2002...
  4. HIvi ndivyo viongozi wa Afrika wanavyonunuliwa na mataifa makubwa ikiwemo Rais Tinubu ambaye ni jasusi la CIA

    Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA. Kanunuliwa, yuko mfukoni. Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika. Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
  5. Nilimpiga Paka picha lakini aliniangalia kwa macho ya kijasusi

    Habari wakuu Niende moja kwa moja kwenye mada kuu Kama ilivyo desturi ya mwanadamu ya kufuga wanyama pendwa kama vile paka,mbwa na ndege kama kasuku Siku za nyuma nilikutana na tukio la ajabu kuhusu paka Mnamo kipindi flan wakati nipo mkoa X ,nilibahatika kuwa na mahusiano na mdada mzuri sana...
  6. Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    Unamkumbuka Andrew Arshavin?! Wengi wanamkumbuka Andrew Sergeyevich Arshavin, kama winga machachari aliyekiwasha ndani ya klabu ya Arsenal. Lakini duru za kijasusi ulimwenguni zinamtambua kama jasusi kutoka katika Shirika la Ujasusi la Urusi, Federal Security Service (FSB) akitekeleza "mission"...
  7. Mimi ni shabiki wa Niffah na nampenda ila nahuzunishwa na talaka aliyopewa na jasusi bobevu

    Kiukweli nampenda na namkubali Nifah ila niliumizwa sana na yeye kuachika kwake na jasusi bobevu inshalah Mungu atawaunganisha tena. Tumuombee Nifah arudiwe na jasusi.
  8. James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

    Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe. Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda. Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila...
  9. Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

    Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee. Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
  10. Jasusi kaniambia sababu ya kuachana na Nifa

    Bado nipo kwenye Mkesha wa "Vuka na chako" Habari za nifa zimenishtua mno. Sikutegemea habari hii hasa kwa siku ya leo. Unajua nifa alikuwa anampenda sana Jasusi. Yeye ndiye aliyejivunia mahusiano hayo mara kwa mara humu JF. Wengi walimjua kupitia mahusiano hayo ya Jasusi. Ukiyaita mahusiano ya...
  11. M

    Jasusi anayejinasibu kuwa shushushu mbobebezi, alishindwaje kujua ukweli wa Sifika Daniely

    Yericko Nyerere, aliandika huko Facebook Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa...
  12. Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

    Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia. Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19)...
  13. Jasusi wa Iran adakwa Israel

    Nianze kwa Mastory. Kwanza ieleweke, pamoja na kile kinachoonekana kuwa ni uadui mkubwa kati ya Israel na Iran, kamwe uhasimu huu haupo kwa raia wa nchi hizi. Uhasimu ni kwa serikali zao, lakini, miongoni mwa raia maisha yanaendelea kama kawaida na kuna to and fro za kawaida kati ya raia wa...
  14. Je, Membe kosa lake kubwa ni kutaka kuwa Rais wakati yeye ni jasusi?

    Poleni na msiba ila kwangu mimi Membe kwa kazi aliyoifanya sina ninachomudai. Tumepoteza mtu mwadilifu Sana pengine moja ya vijana waliopikwa na Nyerere pia mtu wa kitengo ambaye alifanya kazi zake kwa ufanisi wa Hali ya juu Sana. Kama kuna watu tumepoteza kama taifa Basi ni Membe na Mahiga...
  15. TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  16. Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
  17. D

    Hivi kwanini kuna uhusiano mkubwa introvert na spy au jasusi

    Kwa utafiti nilioufanya toka kitambo kidogo Sifa kubwa sana ya spy wengi na majasusi hatari kuwahi kutokea ulimwenguni Kuna uhusiano moja kwa moja na uintroverse what is the real background Pia sio ujasusi tu hata matajiri wengi wakubwa ni introvert Mfano..Vladimir put, Bakhresa, roman...
  18. Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

    George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea. Lema ni agent wa shirika la...
  19. Jasusi wa Rwanda akamatwa DR Congo, yupo jela sasa

    Anaitwa Fortunat Biselele Alikuwa ni mshauri wa Rais wa Congo bwana Felix. Fortunat Biselele alikuwa inner circle ndani ya serikali ya Congo. Alikuwa anamshauri wa rais Felix kwa mambo MENGI. Walimgundua kwa kupeleka siri za maongezi ya Serikali ya Congo na kwenda kwa PK. Na walipopekua...
  20. Kwa mara ya kwanza jasusi mbombezi Kagame anakwenda kuzidiwa kete DRC

    Wa miaka mingi Kagame amekuwa kiungo muhimu cha kuhakikisha maslahi ya mabeberu mashariki mwa DRC. Zaidi ya nusu ya suppy ya madini muhimu yanayotumika kwenye technolia mbalimbali za kisasa kama lithium batteries yanatoka DRC. Kwa miaka mingi vita na vurugu za wanaoitwa "waasi" vimesababisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…