jasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. IBRA wa PILI

    Fahamu kisa cha Jasusi John Gweru, Afisa Usalama aliyeikimbia Zimbabwe kwa kuchoka kuua

    Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO). Alikua ni kijana aliependa kufanya kazi za kijasusi bila kujua kama ilikua na kazi ngumu ya ukatili na umwagaji...
  2. M

    Jasusi wa kiuchumi na demokrasia

    Samia Suluhu Hassan Jasusi wa diplomasia na Uchumi. Amekataa kuwa mrithi wa suala la uhaba na bei kubwa ya Sukari, miezi ya kiangazi Tanzania sukari huwa kama kaa la moto. Amegoma kabisa kuwa mrithi wa sera mbaya za uchumi, utekelezaji mbaya wa diplomasia yetu, Serikali kuwa na juhudi ndogo...
  3. SANCTUS ANACLETUS

    Swali chokonozi: Membe ni Jasusi Mbobezi au Doezi?

    Nimesoma mahojiano ya Mheshimiwa Membe na Gazeti la Jamhuri akilalama kwamba Marehemu Magufuli alimuwekea roho ya Korosho ili asiwe Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola.Kasema mengi ikiwemo jinsi hiyo “Roho ya Korosho” ilivyopelekea Membe kukosa donge la pesa zinazofikia paundi Bilioni Saba za Common...
  4. Richard

    Marekani hawajaiacha Afghanistan kwa bahati ambaya. Huenda wakamtumia jasusi wao aliyekuwa makamu wa Rais, Amrullah Saleh

    Marekani leo imetangaza kuongeza vikosi vya majeshi wapatao 1,000 ili kuongeza na kuimarisha ulinzi katika uwanja wa ndege wa Kabul. Aliekuwa rais wa serikali ya vibaraka Ashraf Ghani ambae amekimbilia Oman amedaiwa kutoroka na kiasi kikubwa cha fedha kutoka benki kuu ya Afghanistan na magari...
  5. GENTAMYCINE

    Je, hii 6th Sense ya Mtu Jasusi (Njagu) huwa anakuwa amezaliwa nayo au anafundishwa huko Vyuoni CIA na MOSSAD?

    Nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali (hasa hasa hapa nchini Herzegovina) yalipo Makazi yangu Siku zote kuwa licha ya Wanadamu wote kuwa na Five ( 5 ) Senses, ila kwa wale Majasusi (Manjagu) wao wanatakiwa kuwa na ya Sita (6) pia. Je, hii ( hiyo ) Sixth ( 6 ) Sense anayotakiwa hasa kuwa nayo...
  6. S

    Jasusi Mbobezi ni lini atarudi? Nyalandu amerudi Nyumbani - Je, umeona TARGET?

    Kama Rais Samia anafurahia kurudi nyumbani kwa wanachama waandamizi wa CCM, basi ajipange kweli kweli, wanakuja kuimba nyimbo zisizoimbika ugenini. Wengi sidhani kama mumeelewa dongo alilolipiga Nyalandu kuhusu NYIMBO ISIYOIMBIKA UGENINI? Huyu aliendea Urais Chadema akajitahidi sana kutaka...
  7. U

    Jasusi Mbobezi na Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani, Mike Pompeo leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa

    Alizaliwa Disemba 30, 1963 Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike Pompeo anasifika kwa umakini mkubwa kwenye maamuzi yake ambayo huzingatia uchunguzi wa kina! Kwa...
  8. Nyani Ngabu

    Uchaguzi 2020 Vipi jasusi mbobezi, yu hali gani?

    Jasusi mbobezi alidai kuwa atafunga kampeni zake huko kwao. Sijamsikia tena tokea siku hiyo. Je, alifanikiwa kuzifunga hizi kampeni zake kama alivyoahidi au? Na sijaona wala sijasikia popote kuwa leo alipiga kura yake. Kuna anayejua kinachojiri kwa huyo jasusi wetu mbobezi?
  9. Waminepo

    Jasusi Mbobezi, Mzee Membe kulikoni? Siku zinayoyoma hatumsikii leo tarehe 3.10.2020

    Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni? Hebu tujuzane wanabodi! Au kaweka mpira kwapani mazima?
  10. Sam Gidori

    Marekani yakana kumfahamu jasusi aliyekamatwa Venezuela

    Raia wa Marekani anayeshikiliwa nchini Venezuela kwa madai ya kufanya ujasusi nchini humo hakutumwa na serikali ya Marekani, taarifa ya kiongozi wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani imebainisha. Mwendesha Mashtaka mkuu wa Venezuela, Tarek Wiliam Saab alitangaza siku ya Jumatatu kuwa...
  11. Sam Gidori

    Maduro: Tumemkamata Jasusi wa Marekani

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuwa wamemkamata jasusi wa Marekani aliyekuwa akipeleleza kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi nchini humo. Maduro aliutangazia umma wa Wavenezuela kupitia televisheni ya taifa katika matangazo ya moja kwa moja akimweleza jasusi huyo kuwa ni mwanajeshi wa...
Back
Top Bottom