je wajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Je, wajua jangwa kubwa zaidi Duniani?

    Tunapofikiria jangwa, kwa kawaida huwa tunapiga picha maeneo yenye joto na mchanga kama Sahara. Na ni mara nyingi watu huhusisha jangwa na mazingira ya joto, yenye mchanga na Jua kali lakini kiuhalisia jangwa hufafanuliwa na viwango vyao vya chini vya mvua. Kwa hivyo, jangwa ni sehemu ambayo...
  2. Venus Star

    Je wajua? 60% ya High-Speed train duniani zipo China

    BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE. Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train. High-Speed Train ni nini? Hii ni train inayokimbia kwa mwendo wa kuanzia 200 km/h (124 mph). Train ikiwa na mwendo huu...
  3. Mjukuu wa kigogo

    Je, wajua umaarufu wa Mlima Ararat ni wa kipekee kabisa?

    Umaarufu wa mlima Ararat ulio mpakani mwa Armenia, Uturuki na Iran unatokana na kwamba bada ya Gharika kuu kuisha, safina ilienda kutua katika mlima huu!
  4. William Mshumbusi

    Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  5. Mr Lukwaro

    Je wajua kuhusu hasara za kunywa Juice nyingi?

    Wataalamu wa afya wanasema Unywaji wa juice nyingi ya matunda au matunda yenyew kwa wakati mmoja Inaweza kusababisha kwenda chooni sana yaani kuendesha (kuharisha) , Hapa wahenga tuliokulia kijinini nadhani tunaelewana ,Hasa ile misimu ya Maembe , Huwa tunayafakamia then tunaenda kucheza sasa...
  6. Doctor MD

    Je wajua mzunguko mzuri wa damu huleta afya Bora ya uzazi?

    Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu 1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo) 2. Saikolojia ya mtu 3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je wajua Nyimbo za taifa za nchi hizi, hazina maneno?

    Spain, San Marino, Kosovo, na Bosnia and Herzegovina. Watakuja mbumbumbu na kuanza kusema chai
  8. aron lissu

    Je, wajua abiria una haki ya fidia endapo basi ulilopanda litapata ajali?

    Habari ndugu Jf mebers, leo napenda kushare jambo ambalo wengi pengine hawalijui kuhusu fidia za bima kwa abiria wa mabasi. Ipo hivi, kama ilivyo Sheria ya Tanzania ni lazima chombo cha moto kiwe na bima, hivyo mabasi yote hukata bima na kampuni za bima huwa wanacharge kiasi cha malipo...
  9. M

    Je, wajua kwamba mechi ya Al ahly na Wydad ilikua ni saa 2 usiku?

     Kwann kulikua na jua wakati ni usku? ili ndo swali wengi wamejiuliza. Jibu ni hili Watu wanaoishi katika eneo la North Pole, au karibu na eneo hilo, wanakabiliwa na hali ya kipekee inayoitwa "Msimu wa Mvua". Wakati wa msimu wa joto, ambao ni takriban miezi sita kutoka Machi hadi Septemba...
  10. BARD AI

    Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

    Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango...
  11. Baba jayaron

    Wajua MSIMAMO wa Rais Samia kwenye sakata la bandari? Huu hapa ushahidi

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha somo kinavosema.... Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA. Kauli hii aliitoa alipokua ana shoot film ya Royal tour akiwa maeneo ya Tegeta...
  12. BARD AI

    Mwaka 2018 DP World ilipigwa Marufuku Nchini Somalia na Mkataba wake kuitwa Batili na Usiotekelezeka

    Mwaka 2018, Somalia ilipiga marufuku kampuni ya bandari ya Dubai DP World kufanya kazi nchini Somalia, ikisema kuwa mkataba ambao kampuni hiyo ilitia saini mwaka 2017 na eneo lililojitenga la Somaliland ili kuendeleza eneo la kiuchumi ni batili na hautekelezeki Bila kueleza kwa undani, Bunge la...
  13. Gordian Anduru

    Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

    Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe! Source: Wikipedia
  14. Replica

    Je, wajua kwanini iliitwa Mirembe? 70% ya wagonjwa wanatokea Dodoma

    Hospitali kubwa ya wagonjwa wenye changamoyo ya akili iliyopo mjini Dodoma inaitwa Mirembe. Mkurugenzi wake amesema iliitwa Mirembe kutokana na miongoni mwa wagonjwa wake wa kwanza aliiitwa Mirembe, alienda Dodoma mwaka 1927 akitokea kanda ya ziwa kumfata mganga maarufu wa wakati huo aliyekuwa...
  15. Pascal Mayalla

    Wajua, kuna 2 Types of Leaders. Born Leaders na Manmade Leaders? Je, Wajua tutamfaidi zaidi Rais Samia kipindi cha 2025-2030 kuliko sasa If Only?

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo makala yangu ni makala ya dhana dhanifu, kuhusu Tanzania ya 2025 -2030. Makala ya leo kwanza inafundisha kujua types mbili za leaders, kuna born leaders, na made leaders, na kwenye made leaders kuna manmade leaders na...
  16. Pascal Mayalla

    Je, wajua kuna Coincidence na Coincidence 'coincidencesisha?' Watch this, is this just a coincidence or ime-'coincidencesishwa'?

    Wanabodi Anzia hapa Mkuu Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili. Wanabodi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa, yaani Happy Birthday yangu, lakini pia leo ni birthday ya last born wangu ambae nae ameitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu...
  17. Izizimba

    Je, wajua Ulimwengu mzima ikiwa kila Mwanaume ataoa Mwanamke mmoja, Wanaume milioni 65.51 watakosa wake wa kuoa?

    Hadi kufikia Mwaka 2021, idadi ya wanaume duniani ilikuwa 3,970,238,390 au milioni 3,970 au bilioni 3.97, wakiwakilisha 50.42% ya idadi ya watu ulimwenguni. Idadi ya wanawake duniani ilikadiriwa kuwa 3,904,727,342 au milioni 3,905 au bilioni 3.905, ikiwa ni 49.58% ya idadi ya watu duniani...
  18. Programu za PC

    Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  19. Pascal Mayalla

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

    Wanabodi, Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo. Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za...
  20. Tarimofundiumeme

    Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

    -Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia. ◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
Back
Top Bottom