Watanzania tuwe macho na hawa watu mana tunawezakuangamia kama si kuharibu kizazi chetu kijacho.
Watu hawa wana ushawishi mkubwa kwenye jamii, na kwa muonekano wao ukiwaangalia kwa haraka ni watu wenye huruma sana kwetu na maneno yao ukiyasikiliza kwa haraka unaweza ukahisi ni watu wametumwa...