jean baleke

  1. GENTAMYCINE

    Leo hii Jean Baleke ni wa kucheza Samia Cup ya Mtaani yenye Uwanja Mita 50?

    Kwani Yanga SC kama hamumtaki mnashindwa nini kumlipa tu Fedha zake ili arejee Kwao Kisangani akatunge Nyimbo?
  2. Ubaya Ubwela

    Jean Baleke anaidai Klabu ya Yanga TSh. Million 155

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa upande wa Jean Baleke ni kuwa anaidai Yanga kiasi cha dola 60,000 ambapo dola 30,000 signing fee na dola 30,000 nyingine ni gharama za kuvunja mkataba, kama Yanga hawatomlipa ana mpango wa kuwapeleka FIFA. Dola 60,000 ni sawa na MILLION 155. Hii timu kwa Madeni...
  3. S

    Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
  4. LIKUD

    Alichoweka Baleke kwenye Instastory yake leo

    Tuendelee kusubiri tamko rasmi la Yanga.
  5. GENTAMYCINE

    Simba SC msitishwe na wala msidanganywe achaneni na Jean Baleke kwani hakuna Mshambuliaji hapo

    Kama kuna Striker ambaye nilikuwa Simpendi Simba SC ni huyu / huyo ila nasikitika kusikia kuwa anataka Kurejeshwa.
  6. jmushi1

    Simba wameachana na wachezaji Jean Baleke pamoja na Moses Phiri

  7. Objective football

    Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

    Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu. Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu. Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki...
  8. Pang Fung Mi

    Nimeota Jean Baleke atafunga goli la kwanza zuri Uzinduzi wa AFL, japo pia ataumia. Nitaumia sana

    Baleke, Chama na Kibu wataivusha Simba SC kwenda semis Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa. Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana. Shukrani 🙏🙏🙏
  9. NALIA NGWENA

    Maono Yangu: Jean Baleke kuhusishwa kusajiliwa Ulaya ni propaganda ili kukuza thamani ya mchezaji sokoni

    Mchezaji ni bidhaa Kama bidhaa zingine dukani, mchezaji anahitaji 'promo" ya Yule anayemsimamia lakini pia mchezaji anahitajika kufanya makubwa haswa pale anapoaminiwa na timu kwani kufanya kwake vizuri ndiyo thamani yake inakua zaidi. Suala la "Jean Baleke" mchezaji anayekipiga Simba SC, Kuna...
Back
Top Bottom