jela kisa bangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

    Hivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?. Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu . Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama anauza, Itampa nini zaidi ya Hela ya Mboga?. WHO ilishagusia Umuhimu wa Bangi kwa namna yake. Hivo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…