Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Hivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?.

Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu .

Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama anauza, Itampa nini zaidi ya Hela ya Mboga?.

WHO ilishagusia Umuhimu wa Bangi kwa namna yake.

Hivo Bangi ni zao ambalo halitakiwi kuhesabiwa kama Zao Haramu .

NCHI ngapi sasa zinafanya Kilimo cha Bangi kama Zao la Biashara ?.

Na Aliyekutwa na Bangi, angekamatwa kwa Matokeo ya Bangi, Kuna watu wanavuta Bangi, wanafanya mambo yao vizuri tu

Huyo anayetafuta Bangi, kisha Aende Kufanya Ujambazi/Wizi/Mauaji, huyo ashughulikiwe kwa kufanya JINAI hizo.

Ni Ujinga, kukoswa Busara, Kukoswa Akili ,kumhukumu Mtu kifungo cha Maisha au miaka 30 kisa BANGI KILO MOJA.

Yaani Bangi kilo Moja, Mtu maisha yako yote yaishie Jela??.

Suala ambalo hata angekaa Mwaka Mmoja Jela , angetolewa akiwa Kiumbe kipya.

Huyu Hakimu anaakili kweli??.

J4 Aliyeua Mtu kwa Risasi, baadae akaachiwa, huyu kaua .

Leo Bangi ,tu Kila Moja ndio Umpe Mtu miaka 30???.

NCHI imejaa Usenge sana.
 
Ila wale wengine wanaambiwa watajwe ili waone aibu aibu baaaasi 📌
 
South Africa walipopitisha sheria ya kuvuta bangi sio kosa, vitu vingi sana vilibadilika, na bangi ikawa pato la taifa , sijui tunasubiri Nini? Kupitisha sheria bangi ikawa ruksa Kwa matumizi
 
Hivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?.

Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu .

Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama anauza, Itampa nini zaidi ya Hela ya Mboga?.

WHO ilishagusia Umuhimu wa Bangi kwa namna yake.

Hivo Bangi ni zao ambalo halitakiwi kuhesabiwa kama Zao Haramu .

NCHI ngapi sasa zinafanya Kilimo cha Bangi kama Zao la Biashara ?.

Na Aliyekutwa na Bangi, angekamatwa kwa Matokeo ya Bangi, Kuna watu wanavuta Bangi, wanafanya mambo yao vizuri tu

Huyo anayetafuta Bangi, kisha Aende Kufanya Ujambazi/Wizi/Mauaji, huyo ashughulikiwe kwa kufanya JINAI hizo.

Ni Ujinga, kukoswa Busara, Kukoswa Akili ,kumhukumu Mtu kifungo cha Maisha au miaka 30 kisa BANGI KILO MOJA.

Yaani Bangi kilo Moja, Mtu maisha yako yote yaishie Jela??.

Suala ambalo hata angekaa Mwaka Mmoja Jela , angetolewa akiwa Kiumbe kipya.

Huyu Hakimu anaakili kweli??.

J4 Aliyeua Mtu kwa Risasi, baadae akaachiwa, huyu kaua .

Leo Bangi ,tu Kila Moja ndio Umpe Mtu miaka 30???.

NCHI imejaa Usenge sana.
In all aspects alcohol is worse than ganja.
Screenshot_20260724_222228_Google.jpg
 
kiindi cha awamu ya mzee wa chato walileta sheria kali sana ya ku deal na mihadati iyo ndio sababu yaan ukikutwa na misokoto yako we OMBA mungu Jaji / hakimu awe amka vizuri , tena kama ndio umekutwa na midawa ya kulevya yaan hapo eleke kipra kabisaa
 
Nimesikitika sana leo kijana mmoja huko mtwara kafungwa miaka 30 jera kisa kakutwa na bangi

Ni huzuni sana

Kinachouma zaid tapeli kama samia kutoka Zanzibar yuko anazungusha shanga zake kwenye ndege ya Kodi ya watanganyika
 
Mkidakwa mkaenda kuphilrwa gereji mnalia
Kuwa na adabu na heshima,kama umeshindwa kumuheshimu kama rais basi mheshimu kama mama wa wengine
Mama yako huvaa shanga!?..huzizungushia wapi?
 
Shall be liable for imprisonment of not less than thirty year😃😃😃

Hii sheria mbona kavu hivi

Hapo ni kwa aliyekutwa na kilo chini ya mia 😃

Ila nadhani kwenye mitigating factor labda hakua na wakili
Za Uzito mdogo wengi wanaongea katika mahakama za Wilaya so wanaongea wenyewe bila wakili. Sema mahakama za wilaya huwa zinawaachia matobo mengi sana hapo akienda Rufaa high court anatemwa
 
Ni kwel...

Sema angekua mdada watu wangepiga sana kelel hata kumsaidia kukata rufaa unaikumbuka ile kesi ya Yule mama aliyekutwa na nyama pori
 
Back
Top Bottom