Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

Hakimu unaanzaje Kumfunga Mtu Jela Miaka 30 au Maisha kisa Bangi kilo Moja?

Hivi maana ya Jela nini? Klni kutunza Wahalifu tu?.

Nategemea Gereza iwe sehem ya kurekebisha Watu .


Umemkamata na Bangi Kilo Moja, Huyu labda ilikua kwa matumizi yake binafsi, na hata kama anauza, Itampa nini zaidi ya Hela ya Mboga?.

WHO ilishagusia Umuhimu wa Bangi kwa namna yake.

Hivo Bangi ni zao ambalo halitakiwi kuhesabiwa kama Zao Haramu .

NCHI ngapi sasa zinafanya Kilimo cha Bangi kama Zao la Biashara ?.

Na Aliyekutwa na Bangi, angekamatwa kwa Matokeo ya Bangi, Kuna watu wanavuta Bangi, wanafanya mambo yao vizuri tu

Huyo anayetafuta Bangi, kisha Aende Kufanya Ujambazi/Wizi/Mauaji, huyo ashughulikiwe kwa kufanya JINAI hizo.


Ni Ujinga, kukoswa Busara, Kukoswa Akili ,kumhukumu Mtu kifungo cha Maisha au miaka 30 kisa BANGI KILO MOJA.


Yaani Bangi kilo Moja, Mtu maisha yako yote yaishie Jela??.


Suala ambalo hata angekaa Mwaka Mmoja Jela , angetolewa akiwa Kiumbe kipya.


Huyu Hakimu anaakili kweli??.


J4 Aliyeua Mtu kwa Risasi, baadae akaachiwa, huyu kaua .


Leo Bangi ,tu Kila Moja ndio Umpe Mtu miaka 30???.



NCHI imejaa Usenge sana.
Ni matokeo ya uvutaji bangi.
Kuna bwamdogo kafungwa maisha no parolle,na akapewa miaka 147 ya nyongeza km akitoka jela huko US.
Hiyo 30 chamtoto tu.
 
Back
Top Bottom