jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Sheikh Mselem bin Ali alitunukiwa nishani na Waislam akiwa jela mwaka 2014

    SHEIKH MSELEM BIN ALI ALITUNUKIWA NISHANI NA WAISLAM AKIWA KIFUNGONI 2014 Katika mkutano wa mwaka uliofanyika Pongwe, Tanga mwaka wa 2014, Jukwaa la Vijana wa Kiislam Tanzania walimtunuku Shekh Mselem bin Ali Nishani Maalum kwa mchango wake katika kuisomesha Qur'an Tukufu. Kwa kuwa Sheikh...
  2. TheDreamer Thebeliever

    Huku Sabaya kule Mdude, wote ni wanashitakiwa kwa uhalifu. Mungu awape wepesi

    Habari wadau! Leo nimevaa viatu vya baba yake Sabaya nikaona havinitoshi nikajaribu vya mdudu ndio kabisa. Kama una mtoto unajua vipi mtoto anavyouma, tuwaombee vijana wenzetu wapate haki wanayostahiri. Najua wengi wata comment ujinga kutokana na mlengo wao wa kisiasa. Bado tunawaitaji hawa...
  3. KAGAMEE

    Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  4. J

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja. Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara. Taarifa rasmi itawajia punde. Kazi Iendelee!
  5. The Palm Tree

    Video: Hivi ndivyo aliyekuwa DC wa Hai, Ole Sabaya alivyotumia madaraka yake vibaya kuiba, kutesa na kuua. Kwanini asiende jela huyu...?

    Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli... Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO... Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI.. Katika video hii...
  6. Kurunzi

    Tabora: Mwanaume amuua Mke wake na kuhukumiwa miaka minne jela. Hii ni mara ya pili kuua Mke na kuhukumiwa

    AFUNGWA MIAKA MINNE KWA KUMUUA MKEWE: Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul. Akisoma hukumu hiyo Jaji...
  7. Analogia Malenga

    Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

    Watu wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko kwa Mathiasi mjini, Kibaha mkoani Pwani. Watu hao walifungwa kwa makosa ya wizi katika kesi ya jinai namba 273/2020 na 260/2020 na walipata msamaha wa Rais wa...
  8. B

    Songwe: Miaka 200 jela au faini Tsh Milioni 52 kwa makosa 60 ikiwemo kughushi nyaraka

    Leo tarehe 07/05/2021 Mahakama ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe imemhukumu ndugu SEMENI GWEWA MSWIMA (Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo) Kifungo cha miaka 200 au kulipa faini ya Tshs.52,000,000/= pamoja na kurejesha kiasi cha Tshs.30,850,000/= alichoiibia Halmashauri wilaya ya Mbozi. Kesi...
  9. tyc

    Mwalimu wa Kanisa ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti

    Mahakama ya Mkoa wa Kinondoni imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Elisha Mushi, mkazi wa Ubungo Kibangu baada ya kuthibitika kumlawiti mtoto wa miaka minne kanisani. Mushi, ambaye alikuwa akifanya kazi ya kufundisha watoto kanisani anadaiwa kutenda kosa hilo Februari 19, mwaka huu katika...
  10. VUTA-NKUVUTE

    Spika Ndugai, waonee huruma akina Halima Mdee. Jela uliyowaweka inawatesa na kuwatweza, ifike mahali uwaache

    Amini nawaambieni, akina Halima Mdee (waliokuwa wanachama 19 wa CHADEMA na sasa wanatajwa kama Wabunge wa Viti Maalum) wanapata tabu na mateso makuu. Wanateswa na mioyo yao (kwamba wanaonekanaje mbele ya jamii kuitwa Wabunge huku wakiwa hawana chama chochote cha siasa kwasasa). Wamepoteza au...
  11. Ben Zen Tarot

    Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo. Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
  12. The Assassin

    Marekani: Atoka jela baada ya kufungwa karibia miaka 70, atoka jela akiwa na miaka 83

    Mzee Joe Ligon alikamatwa mwaka 1953 na kufungwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa kupata msamaha. Bwana Joe alikamatwa huko Pennsylvania kwa kukosa la mauaji ambalo mwenzake alifanya mauaji na kwa sheria za jimbo hilo, mtu akifanya mauaji hata wale walioshirikiana nao wanahukumiwa sawa na...
  13. Analogia Malenga

    Afungwa jela kwa kuwapiga picha polisi wakikata roho

    Mwanaume mmoja nchini Australia amehukumiwa kifungo cha miezi 10 gerezani kwa kosa la kuwadhihaki na kuwapiga picha maafisa wa polisi wakati wakiwa wanakata roho katika ajali. Mwezi uliopita Richard Pusey alikutwa na hatia katika shitaka ambalo si kawaida kutokea kwa kusababisha hasira kwa umma...
  14. U

    Waziri wa Zamani Wa Ulinzi Wa Burundi Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye Amefariki Leo Akitumikia Kifungo Cha Maisha Jela

    Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza. Jaribio hilo lililoshindwa lilifanyika Mei 16,2015 wakati Mwendazake Piere Nkrunziza akihudhuria Kikao cha Wakuu wa Jumuiya ya Afrika...
  15. U

    Kisa cha kweli cha Hayati Nelson Mandela akiwa Rais jinsi alivyokutana mgahawani na Askari aliyemtesa alipokuwa jela

    THE MAN WHO USED TO URINATE ON MY HEAD WHEN I WAS IN THE PRISON Nelson Mandela: "After I became president, I asked some members of my close protection to stroll with me in the city and have lunch at one of its restaurants. We sat in one of the downtown restaurants and all of us asked for some...
  16. B

    Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani

    Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani Pascal Mwakyoma TZA on April 13, 2021 Kijana aitwaye Abraham Nduba, mwenye umri wa miaka 26 kutoka kaunti ya Murang’a nchini Kenya amekamatwa na kutupwa jela miaka mitano baada ya kuungama kanisani kwamba ni mwanachama wa genge la uhalifu eneo hilo...
  17. Erythrocyte

    Ziara ya BAVICHA Magereza yaanza kuzaa Matunda. Mahakama ya Songwe yamuachia huru Moses Mwaifunga aliyesoteshwa jela kwa miezi 5

    Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa. Sasa baada ya ziara ya viongozi wa Bavicha Taifa kwenye Magereza za Mbeya na Songwe za kuwajulia hali...
  18. M

    Mwezi wa Ramadhani umeingia Masheikh wako Jela

    Tunakwenda mwaka wa saba au nane, Masheikh wasio na hatia wako Jela. Waliwekwa ndani na Kikwete, Wakakandamizwa ndani na Magufuli, na Sasa Samia anakaribia Mwezi mmoja madarakani bado serikali yake imewaweka Jela. Siyo masheikh wa Uamsho tu, kuna mamia kwa mamia ya Masheikh nchi nzima wasio na...
Back
Top Bottom