Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018....
Ajira za 2018 zikatoka nawe...
Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika.
Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya…
@ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba
@VAR...
Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi.
Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki...
Wakuu,
Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa...
TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO
Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao,
Tuachane na hayo maana...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
Kila mtu atakubali kuwa huyu jamaa aliionyoosha Dar. Maana vibaka, wazembe wa kila aina, wauza unga na matapeli walikiona cha moto.
Mbali ya hayo ni Makonda aliyempigia chapuo mama Samia awe makamu wa rais mwaka 2014 wakati bunge la katiba likiendelea mkoani Dodoma.
Cha ajabu amesahaulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.