Aliyekuwa Jenerali wa Jeshi la Ulinzi la Uganda (UPDF), Peter Elwelu, anadaiwa kukamatwa na Vyombo vya Usalama katika Mji wa Soroti, jioni ya Jumatatu, Novemba 2, 2026.
Taarifa za kukamatwa kwake zinafuatia msako uliofanyika hivi karibuni katika mojawapo ya makazi yake, ambapo Vyombo vya...