jenerali ulimwengu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Jenerali Ulimwengu: Siyo kila anayetangazwa kateuliwa na Rais, wengine ni Wateule wa "Influencers" Rais anaweka saini tu!

    Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo. Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio...
  2. Jenerali Ulimwengu: Hakuna alietajirika kwa kucheza Kamari

    “Tunaendelea na hicho kinachoitwa michezo ambacho kingetakiwa kiitwe kwa jina lake halisi, yaani kamari. Hakuna mtu aliyeweza kutajirika kwa kamari. Tuache kudanganywa na wajanja wachache wanaotajirika kupitia mgongo wetu. Acha kucheza kamari na iepuke kuliko ukoma na UKIMWI.” – Mwanahabari...
  3. Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika

    Ifikie wakati tuache kuona kila anachofanya Raisi ni msaada kwetu na si majukumu yake. Hizi sifa za uongo zimekuwa nyingi mpaka kuondosha mantiki ya uhalisia wa utendaji wake. Alichosema Jenerali Ulimwengu "Mimi inanichosha kusikia sifa za rais kila dakika. Rais ni mtu mwema nadhani. Lakini...
  4. Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

    Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo! Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za...
  5. UDSM kuwa Form 10 Jibuni hoja za jenerali Ulimwengu

    Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni. Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja. Hapana wanasiasa wamekikandamiza...
  6. Kavazi la Dr. Salim, Jenerali Ulimwengu, Gazeti la Rai na Ugombea wa Dr. Salim Uchaguzi Mkuu 1995

    KAVAZI LA DR. SALIM: JENERALI ULIMWENGU, GAZETI LA RAI NA UGOMBEA WA SALIM UCHAGUZI WA 1995 Katika Kavazi la Dr. Salim anaeleza simu aliyopigiwa na Jenerali Ulimwengu tarehe 29 March 1995 na walizungumza kuhusu Burundi, siasa za Tanzania na Uchaguzi Mkuu. Mimi nilivutiwa na hili la Uchaguzi...
  7. D

    Unabii wa Jenerali Ulimwengu umetimia mapema mno

    Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya: "Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye executive ambaye aliweza kusaga saga kila kilichokuwa mbele yake na kuweka ya kwake anayotaka yeye...
  8. B

    Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

    Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
  9. Mbowe, Lissu, Dkt Kitima, Jenerali Ulimwengu, Dkt Slaa - ni wapotoshaji kuhusu DP World?

    Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao. Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
  10. Sakata la DP World na Bandari, Jenerali Ulimwengu asema Serikali imepoteza imani ya wananchi

    Wakati mjadala wa uhalali wa mkatabva wa uwekezaji katika bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ukiendelea, Mwandishi nguli nchini Jenerali Ulimwengu, amesema Serikali imepoteza imani ya wananchi. Mwandishi huyo nguli anaibua hoja hiyo wakati watanzania na wadau mbalimbali...
  11. Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

    Wanabodi Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Serena, jinini Dar es Salaam, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai, ulioandaliwa na taasisi mpya kabisa ya habari inayoitwa MB (Media Brains), inayoundwa na Manguli wabobezi na wabobevu wa habari nchini...
  12. Jenerali Ulimwengu alikuwa na bifu gani na Hayati Magufuli?

    Leo nimejikuta nawaza! Nini hasa ambacho kipo nyuma ya pazia kati ya Hayati Magufuli na Jenerali Ulimwengu? Msingi wa swali langu unatokana na maneno ya Jenerali Ulimwengu kwa Hayati Magufuli! Sijawahi kumsikia Mzee Ulimwengu akimsema Magufuli kwa mazuri, na hili limeingia mpaka kwenye gazeti...
  13. Jenerali Ulimwengu: Spika Ndugai alikuwa mnafiki

    Jenerali Ulimwengu amemaliza kutia yake ya moyoni kuhusu uspika wa Ndugai. Amenena kuwa kumkosoa Mama Samia sasa hivi, wakati hakuwahi hata siku moja kumkosoa Magufuli, ni unafiki wa hali ya juu. Haya siyasemi mimi Jidduzz, ya Jenerali Ulimwengu haya. Na yuko spot on. Wengine na wasikie...
  14. Jenerali Ulimwengu kweli tunaingia 2022 ukiamini Samia Suluhu Hassan haijui Tanzania?

  15. Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

    Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g
  16. C

    "Sisi Wazalendo" Tunasema Jenerali Ulimwengu Ameshanunuliwa na Mafisadi, Bring Back Our Jenerali

    Huo ni "UONGO" wa wazi... Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi Jenerali Ulimwengu alivyokuwa na chuki na Rais wetu kipenzi, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kwahiyo...
  17. Ni raha sana kuwa CCM

    Ukiwa mwana CCM utaishi kwa Raha sana, maana yake ni kwamba, hutaweza kuhisi maumivu yoyote ya maisha. Kila baya kwako litakuwa ni zuri tu, na kila zuri kwako ni zuri tu, kifupi ni kwamba hakunaga stress ukiwa mwana CCM. Bidhaa zikipanda Bei kwako ni sawa tu, ukishinda na njaa pia ni sawa...
  18. R

    ACT Wazalendo yamkingia Kifua Jenerali Ulimwengu dhidi ya vitisho vya Spika Ndugai

  19. Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete

    Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo. Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi...
  20. M

    Mkitaka Jenerali Ulimwengu anyamaze na awe anawapigieni Makofi ya Heko mkiwa Magogoni na Chamwino fanyeni haya...

    1. Msiwe Mazuzu ( Majuha ) 2. Acheni Vitisho na Ubabe 3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola 4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi 5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo 6. Muhubirini Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa Vitendo na siyo maneno matupu 7. Jibiidisheni sana Kusoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…