WAKAZI wa Kitongoji cha CCM-Senta, Kijiji cha Lwamugasa wilayani Geita mkoani hapa wamekutwa na sintofahamu baada ya kaburi la mtoto aliyezikwa kukutwa limefukuliwa na watu wasiojulikana.
Akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo, baba wa mtoto, Dismas John (35) alisema mwanawe wa...
Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua.
Baadhi yao wakiwa wakiwa na masufuria, miko mabango yaliyoandikwa ‘Njaaaa!’ huku wakisikika wakiimba...
Wananchi wa Mtaa wa Maganga, maeneo ya Nurulyakini, Temeke, Dar es Salaam wamezuia mwili wa marehemu Pius Beda maarufu Stahimili (32) kuingia nyumbani kwa wazazi wake, kuonesha hasira zao kwamba wazazi hao walishindwa kumhudumia alipokuwa hai.
Kijana huyo alikutwa amekufa kwa kujinyonga...
Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa.
=====
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa...
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
Hii dhana ya kujinunulia majenezo au kujijengea makaburi kabla ya kifo chako, kwa kisingizio eti ukifa usije kusumbua watu katika michango.
Hii imekaaje wakuu? Ni sawa kufanya hivyo?
Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
Kuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu...
ABOUT THE FOOTAGE below:-
In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body.
This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara
Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
Picha ya Mwanamziki Lady Jaydee
Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide, amelaaniwa vikali na mashabiki wake kwa kitendo hicho.
Abadili rangi
Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.