Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha.
Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi miwili kuhakikisha anakamilisha ujenzi, ili ifikapo Juni Mosi mwaka huu jengo hilo lianze kutumika rasmi...
Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti
Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji, nguvu ndio zimeniisha kabisa.
Nimeambiwa huu sasa ni mwezi wa pili na nusu kuna jengo la Walimu katika...
Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.
Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
Chama Chadema kuna watu waliokosa maono .
Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him.
Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi .
Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi...
Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro
Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu...
WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM
Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi sehemu nzuri kwa ajili ya malezi yaliyo bora
Ghorofa hizo zimejengwa na Mfanyabishara nchini...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni.
Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
NSSF KUTEKELEZA MRADI WA UWEKEZAJI WA JENGO LA OFISI NA JENGO LA KITEGA UCHUMI DODOMA
*Ni katika eneo la Njedengwa, kujenga hoteli ya nyota 5
*Mkuu wa Mkoa asema uwekezaji huo utachochea uchumi na utalii
Na MWANDISHI WETU,
Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya...
Kiukweli nawapongeza wamiliki wa jengo hili kuona umuhimu wa kuliboboa jengo ambalo ni la muda mrefu tena limeshaanza kuonyesha ishara mbaya.
Bila shaka wamejifunza pakubwa baada ya kuporomoka kwa jengo la kariakoo na kusababisha vifo kadhaa vya watanzania na hata biashara zao kuharibika...
JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi, Mwanahamisi Kitogo na Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi, Mhandisi, Simeon Machibya kuhakikisha jengo la...
Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na wageni wengine waalikwa. Spika Cavaye amesema, jengo hilo ni kubwa zaidi, zuri zaidi na lenye kuvutia...
Maisha lazima yaendelee. Ni kauli za wafanyabiashara kwenye maghorofa mawili yaliyo pembeni ya lile lililoporomoka katika soko la Kariakoo ambao sasa wanaendelea na shughuli zao za kibiashara.
Majengo hayo mawili yalitakiwa kuchunguzwa usalama wake, mara baada ya ajali ya kuporomoka kwa jengo...
Wakuu,
Ukurasa wa X wa East Africa TV wamepost kuonesha kuwa mmiliki wa jengo la Kariakoo amekamtwa
Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, ametangaza kuwa mmoja wa wamiliki wa jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo, na kusababisha vifo vya watu 29 pamoja na majeruhi kadhaa, tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.