Hakuna ubishi kuwa Mr Nigel Farage anafanya kampeni ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika kesho - 12/12/2019 ndani ya jengo la kanisa. Architecture ya jengo hilo ni ya kanisa. Wamefikia hapo baada ya wengi kuelimika na tech kupanda na demokrasia kukuwa.
Je, nasi tutafika huko na haya makanisa...
Kwa yaliyotolewa na mwenyekiti wa klabu ya Yanga,aisee inasikitisha,boat inaendelea kuzama
Hali ya kipesa ni mbaya zaidi kwenye klabu hii ya wananchi
Madeni zaidi ya bilioni 2 ni hatari hata kama ni mwekezaji ataogopa madeni ya Yanga
Tunaomba uongozi wa Yanga urudishe bakuli kwa wananchi...
BREAKING NEWS: Jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo.
Shughuli za uokoaji zinaendelea huku baadhi ya majeruhi wakikimbizwa hospitalini kwajili ya matibabu
Ripoti nchini Kenya...
Wakuu nimestaajabishwa na hili: Wakati sisi kwetu tunajengewa Bwawa na Umeme wa Teknolojia ya juu, Wamisri wamempa tenda Mchina kuwajengea Jengo na Mnara utakaokuwa mrefu kuliko yote Afrika. Nilidhani kwa hili la Umeme, ingetosha kwa wao kujenga minara na majengo. Kweli Mungu hampi mtu kila kitu
Rais John Magufuli amawapa jeshi la Police jengo lililokua linatumiwana Idara ya maji Dodoma kua makao mkuu ya jeshi hilo jijini Dodoma. Pia amempongeza IGP Saimon sirro kwa kuhamia rasmi Dodoma.
Namkumbusha mheshimiwa Rais awakumbuke Zimamoto na Magereza ambao nao ni wanamahitaji kama Polisi.
Rais Magufuli amewapa jengo la ghorofa 4 Wizara ya Mambo ya Ndani ili liwe ndio makao makuu jijini Dodoma.
Rais Magufuli amekabidhi picha na michoro ya jengo hilo kwa IGP Sirro na Waziri Kangi Lugola jijini Dodoma leo.
Source: Channel ten
Wakati akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali iliyotekelezwa na serikali ya CCM ndani ya miaka minne RC Makonda amelielezea pia jengo la makao makuu ya Bakwata.
Mh Makonda amelielezea jinsi jengo hilo litakavyokuwa la kisasa kabisa na namna alivyopendekeza ofisi ya mufti iweje.
Kwa...
📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio
📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako
📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm
📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu
📍Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo
💸💸💸 BEI : Milioni 300 (Mazungumzo yapo)
💸💸💸 LIPA 50% INGINE...
By Elisha Magolanga
Dar es Salaam
As the death toll occasioned by the collapse last Friday of a high-rise building along Indira Gandhi Street in Dar es Salaam reached 25 by mid-day yesterday, the government ordered a demolition of three structures close to the ill-fated one over safety...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.