jengo

  1. Sam Gidori

    Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  2. Replica

    Spika Ndugai: Vijana wa Tanzania hawaaminiki, wakiachiwa biashara bila kuiba wanajiona wajinga

    Wakati Waziri Mkuu akiahirisha Bunge baada ya hotuba ya Waziri Mkuu, Spika Ndugai ameongelea suala la uaminifu wa watanzania hasa kwa vijana na kudai wawekezaji wengi wamekuwa wakilalamika. Ndugai amesema mtu anaeanzisha mradi atajikuta tu amefilisika asipokuwa makini. '' Mtu akianzisha labda...
  3. YEHODAYA

    Kila mradi wa ujenzi wa Serikali kuwe na separation of duties usifanywe na taasisi moja, ni rahisi kuibiwa na kuwa na jengo substandard

    Unakuta mradi wa Serikali Mfano bango linaonyesha Contactor ni NHC Architect ni NHC Quantity Surveyor ni NHC Subcontractor ni NHC Hakuna segregation of duties Inatakiwa mfano Architect awe mwingine siyo NHC aweza kuwa Private sector au quantity surveyor akawa Private sector na subcontractor...
  4. Shadow7

    Majizzo: Nimeumia sana Hayati Rais Magufuli alikubali kuja kuzindua jengo letu la Efm

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa mkurugenzi wa kituo cha habari cha Efm na TVE, Mbwana Francis Ciza alimaarufu Majizzo ameeleza namna alivyokamilisha taratibu zote za hayati Magufuli kuja kulizindua jengo lao la kituo hicho cha habari, Majizzo ameeleza kuwa – “Moyo wangu umejawa na maumivu...
  5. J

    Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni. Tuko mubashara TBC. Updates: Madhumuni ya ziara yangu ni kuangalia miradi ya maendeleo, miradi yote...
  6. RealEstate Agent

    INAUZWA Special Thread: Tunauza Viwanja, Mashamba na Nyumba

    Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata Mashamba kilomita Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10 Mpaka acre 500...
  7. J

    Waziri Gwajima: Nawapongeza sana Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito, Leo nimefurahi sana!

    Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito. Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana. Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  8. M

    Yanga SC ya leo na ukubwa wake wote ilitakiwa ionyeshe chumba cha mfano cha wachezaji wake au jengo zima lililokamilika tayari?

    Tukiwa tunawaambieni kuwa tumieni Akili zenu vizuri katika kufanya (kutenda) mambo muwe mnatuelewa ila bahati mbaya mkisemwa (mkisilibwa ) kwa Upuuzi wenu huwa mnanuna (mnatununia) hapa. Hivi kweli kwa Ukubwa na Ukongwe wa Klabu ya Yanga leo hii ilikuwa ni ya Kuita Waandishi wa Habari na...
  9. G Sam

    Waziri Ndumbaro azindua Jengo la Utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato, atoa maelekezo kwa Sekta ya Utalii nchini

    Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
  10. D

    Ushauri: TANAPA,TTB wajenge jengo la kisasa la kutangaza utalii Kanda ya Ziwa

    Mimi ni mwekezaji katika sekta ya utalii kanda ya ziwa lakini jambo linalokatisha tamaa ni kuwa ukanda huu pamoja kuwa na Hifadhi za Taifa za Burigi Chato, Serengeti, Sanane, Rubondo Kimisi, Rumanyika lakini hakuna jengo na raslimali watu inayoakisi nia ya serikali kuendeleza utalii wa kanda...
  11. Tony254

    Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

    Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44. Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii
  12. Sam Gidori

    Polisi Marekani wakamata gari lililokuwa na mabomu karibu na jengo la bunge wakati wafuasi wa Trump walipofanya vurugu

    Polisi nchini Marekani wanasema wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki likiwa limeegeshwa karibu na jengo la bunge siku ya Jumatano wakati wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia jengo la bunge, mtandao wa CNN umeripoti. Mtu mwingine aliingia ndani ya jengo la bunge akiwa na bunduki...
  13. Infantry Soldier

    Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior

    Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior. Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Hilo jengo unaloliona hapo juu, lenye picha kuuuubwa ya Ernesto "Che" Guevara...
  14. MakinikiA

    Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

    Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu. Najiuliza mbona hawa wahusika...
  15. S

    Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

    Jengo hili lilikua ndio sura ya mji Mkongwe Zanzibar na kivutio Kiki kikubwa cha utaliii, lakini serekali imeshindwa kulitunza. Serekali ya Oman 🇴🇲 ilikua tayari kulikarabati lakini inaonekana wamefanyiwa urasimu na watendaji wenye tamaa. === Jengo la Beit al Ajaib lilijengwa na sultan wa...
  16. Black Thought

    Ni sababu ipi hupelekea watu kujenga bila ramani au kwa ramani za kukopi kutoka kwa watu wengine?

    Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao. Hebu fikiria umetumia milioni...
  17. K

    Jengo la Biashara ndani ya ekari moja linauzwa

    Habari Wadau. Nauza Showroom yenye details zifuatazo: Eneo Lilipo : Kibaigwa Mjini linapakana na barabara ya Dodoma karibu na Sheli ya Olympic Eneo linapakana na barabara kubwa ya Dodoma.showroom iliyopo tulikodishia kampuni ya kuuza matractor. Eneo lina ubkuwa wa ekari moja. Documents: Eneo...
  18. Parody

    Video: Jengo la Shule lenye ghorofa 5 lililojengwa miaka 85 iliyopita likihamishwa kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China

    Tazama jengo la shule lililojengwa zaidi ya miaka 85 iliyopita likihamishwa zima zima kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China, kwa kutumia teknolojia iliyopewa jina "Mashine Inayotembea" Jengo hilo lililopo katika eneo la Wilaya ya Huangpou lilijengwa mwaka 1935 kwa ajili ya Shule ya...
  19. D

    VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  20. Sam Gidori

    India: Watu 10 wafariki baada ya jengo la ghorofa tatu kuporomoka

    Takriban watu 10 wamepoteza maisha baada ya jengo la makazi ya watu lenye ghorofa tatu kuporomoka mapema leo asubuhi katika eneo la Bhiwandi lililopo katika viunga vya jiji la Mumbai, India. Zaidi ya watu 25 wanahofiwa kukwama chini ya vifusi vya jengo hilo, kwa mujibu wa Kitengo cha Taifa cha...
Back
Top Bottom