Moto mkubwa umezuka katika jengo la Utawala la Chuo Kikuu cha Makerere Jijini Kampala nchini Uganda usiku wa kuamkia leo
Jengo hilo ni moja ya vivutio Jijini Kampala hivyo taarifa za kutokea kwa moto zimewaumiza wengi
Hadi sasa chanzo na kiwango cha hasara iloyosababishwa na moto huo...
Nakumbuka Sitta aliipata mwaka 2010 kutoka kwa Slaa kutokana na ujenzi wa hili jengo.
Aidha, nakumbuka siku Kikwete analizindua alipokuwa Rais aliguna kisha akasema "Sasa kila mtu akijijengea hivi kutakalika kweli"
Nani analitumia sasa? Maana ni jengo la hadhi ya Spika lililojengwa kwa kodi...
Yaani Kawe CCM imetuletea Mgombea mbinafsi sana. Gwajima nilikutana naye Dallas, Texas kwenye kanisa la Umoja church miaka miwili hivi imepita.
Alikuja US kununua ndege binafsi na kuuza vitabu. Alituambia tayari ana helkopta mbili sasa cha kushangaza ndege ya nini kwa kutumia pesa za sadaka...
Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote anazokusanya kila jumapili, atatusaidia nini watu wa kawe?
Kanisa la Gwajima akupita pale ubungo unaambiwa ni...
Kimsingi jiji la Mwanza linapanuka kila siku na ni kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati na hususani kusini ya Jangwa la Sahara. Jiji hili ni la pili kwa Dar na pia linachangia asilimia kubwa kwenye Pato la Taifa ikiwemo kilimo, viwanda, uvuvi, madini, mifugo nk.
Hivo uwepo wa miundo...
Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama.
Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote.
Nachukulia huo kama...
Baada ya makamanda kunishambulia sana nilipoleta uzi wa uzuri wa stand ya makao makuu ya nchi, nilijiuliza kwanini wanakuwa wabishi ndipo nilipoanza kuchunguza jengo la makao makuu yao pale mtaa wa ufipa, bila chembe ya unafiki nampongeza sana Mh Mbowe kwa jitihada hizi maana jengo ni classic...
Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu)
Ndiposa leo nikapata bahati ya kufika mtaa wa Ufipa hadi pale makao makuu ya chama hiki kikuu cha upinzani. Kimsingi...
Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma
Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande
Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
Waziri mkuu mh Majaliwa anafungua jengo la ofisi za bodi ya mkonge na kushuhudia utekelezaji wa agizo lake lililotaka mali zote za Mkonge zilizoporwa na mafisadi zirejeshwe.
Karibu.
Up datea;
Habari zenu waungwana, shida yangu kubwa ni kwamba natafuta mtu mwenye kauwezo fulani ili adevelop kwa kurenovate jengo la ghorofa moja lililopo pahala pazuri kweli pana paking kubwa ya kupaki gari kumi mbele, kuna barabara safi ya lami
Jengo likikarabatiwa litawezwaa kuishi familia 4. Karibuni...
Wanandoa wakazi wa Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona.
Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mkunde Mshanga akisaidiana na...
Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho.
Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara...
Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM.
Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
Serikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwa vyema wangejenga jengo la kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera.
Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika.
Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi.
Prof. Ibrahim Juma...
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.
Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.