Watu wasiopungua 6 wamethibitishwa kupoteza maisha na wengine wengi wanaaminika bado wako chini ya kifusi baada ya jengo moja lililokuwa linajengwa kuporomoka huko Kisenyi nchini Uganda.
Salim Uhuru, mkuu wa timu ya uokoaji amesema kuwa, miili ya watu sita imetolewa kwenye kifusi na kupelekwa...
Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya?
Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue...
Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70.
Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower...
Withholding Tax ni kodi anayolipishwa mpangaji kwa niaba ya mwenye nyumba kwa kigezo cha urahisi wa kuikusanya kupitia mpangaji!
Na TRA ikimshauri mpangaji amdai mwenye nyumba ili amrejeshee alicholipa! Je, hili linawezekana? Hapana, huku ni kuporwa kwa kulazimishwa.
TRA inapokuja na kauli...
Binafsi sina jengo, ila kuna sehemu nimeweka umeme kwa ajili ya kazi zangu. Lakini sio kwenye jengo maana kazi hii nafanya sehemu ya wazi.
Sasa bwana leo nikasema ngoja ninunue umeme wa 2,200 nione kama nitakatwa kodi ya jengo wakati sina jengo.
Sijaamini kilichotokea, umeme wa 2,200...
Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapangaji walipe kodi ya...
Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
Bunda, Mara 08/08/2021.
Siku ya Tarehe 8/8/2021 kundi la wadau wa maendeleo Mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi sehemu mbali mbali hapa nchini (Mara Investors) limekabidhi jengo kwa ajili ya ofisi ya Serikali ya Mtaa ili kusaidia huduma za kiutawala kwa wakazi wa mtaa wa Serengeti Kata ya...
Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena
Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa
Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea?
Nilikuwa namkubali sana Mama...
Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi.
Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za...
"Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?"
"Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe
Pia...
Matajiri wajanja wametusukumizia kodi za majengo yao wanayowapangisha wageni tuzilipe sisi ambao hata bei ya tofali hatuijui.
Wajanja hawa kama wangekuwa na nia nzuri na sisi masikini wangeweka bima ya afya (NHIF) tuilipe kwenye mfumo wa LUKU, hii ingetuwezesha tusio na uwezo wa kulipa kwa...
Siwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki.
Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake
Basi...
Wakati shughuli za uokoaji zikiendelea katika jengo la ghorofa 12 lililoporomoka siku ya Ijumaa nje kidogo ya mji wa Miami, Florida nchini Marekani, miili zaidi imetolewa katika kifusi cha jengo hilo.
Watu 9 waliripotiwa kufariki kufikia siku ya Jumapili, akiwamo mtu mmoja aliyefariki akiwa...
Eclectic reception area under a glass dome in Párisi Udvar(Paris Court), a former bank building built in the 1910s which was recently restored and renovated into a luxury hotel in downtown Budapest, Hungary.
Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika?
Iliniuzunisha sana wakuu, nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo
Taarifa mbaya kutokea Kenya
Jengo la Bunge la Kaunti ya Nyamira lilojengwa kwa thamani ya Milioni 379 za Kenya limeporomoka mapema leo
Kazi ya uokozi inaendelea na hadi sasa watu 8 wamepata majeraha makubwa
Thamani ya fedha ya ujenzi ni Billion 7,959,000,000 za Tanzania
=======
At...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.